Verossa

Jamani jamani, mbona unanisingizia mambo mazito hivi?
Unajua kabisaa HS ni dota wangu wa pekee kabisa, sema unatafuta visingizio.
Sa' lakini si unakumbuka mi nilipataga amnesia na nilivyo-recover ndo ukaniambia HS ni binamu yangu... au nimechanganya uliniambia Honey Faith ndo binamu yangu?! Yaani huu ugonjwa mbaya, dah!
 
Sa' lakini si unakumbuka mi nilipataga amnesia na nilivyo-recover ndo ukaniambia HS ni binamu yangu... au nimechanganya uliniambia Honey Faith ndo binamu yangu?! Yaani huu ugonjwa mbaya, dah!
We useme tu vizuri, kwanini unang'ang'ania binti yangu awe binamu yako?
 
Sasa baba mbona tulifikisha miaka 10 hukusheherekea? Wakati na tuzo tulitakiwa kupewa?

Alafu itabidi tujadiliane namna ya kuwalea hawa watoto, na huyu aliyeko tumboni.
Sikuwa na haraka kipindi hiko..Nilijua itafika 25 ndo tusheherekee..Kumbe!!!!!!!!!

Hilo halina shida..Mi siwezi kukimbia damu yangu bana..We sema tu unataka tuwalee vipi..Ombi lako ni sheria
 
Afu wewe em Itue familia yangu. Mwanamke mpana kama shati la Le baharia. Tunazopitia ni changamoto tu za familia, yataisha tu. Subiri yakukute, tutakupigia kisingeli mbona
Yamkute mara ngapi, mpaka wanalazana nje na foleni ndeefu, mara wapelekane kwa manyau nyau!!!
Muache ajifariji maana yake ni mazito zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…