Verossa

Verossa

Last edited by a moderator:
Alinimaliza sidhani kama i had any role to play! usinihusishe... Mentor is a free molecule... Cc: Evelyn Salt
ladyfurahia umeona hapa........?!?!? Mentor is free!!! na si ulimuacha mwenyewe tena kwa sredi!?!?! pliz acha kumzuzua mdogo wangu basi!!! kama ulipanda verossa wakati yeye ana vits ,na uwezo wake ni vits tafadhali tafuta wenye verossa!!!!! umuwache apumuwe na wanaomudu vits! hahahaa
put this is your very oblongata eenh!!!
 
Last edited by a moderator:
Oh noo...but from what angle should I warn them? the driver or the sleeper!???

both angles have lessons of life.......!
Ila bro nilishuhudia best yangu ameshushuliwa mbaya na msupuu, siku ya siku akamuona best alikuwa kwenye usafiri wa nguvu, nadhani msupuu alishindwa kujua kam aile ni gari ya japan au jeremani, akachanganyikiwaje! wacha aanze kujishaua maraa ooh bofrend yupo nje, mara sipo naye vizuri, am singo, mara its complicated!!! jamaa akampeleka kwao........maskini weee dada wa watu akaanza kujionyesha kwamba yupo tayari kugegedwa! yani hadi aibu wadada!!!
 
umenichekeshaje best? yeye mwenyewe Mentor analitambua hilo na ni yeye aliyeanzisha ligi mm ni mmaliziaji wa kufunga sasa sina makosa kumwambia ni my luv, baby na honey kwani moyoni amejaa tele ingawaje ananifanyia vimakosa vya hapa na pale bado hatobanduka kwenye moyo wangu, nitaendelea kumvumilia hadi mwisho wa dahali, naomba elewa hilo bestito

#majanga Cc: dada Paloma. "Talaka uombe wewe, na tena uitoe wewe, lawama nipewe mimi.."

Mentor unasema umemuona...?

Nmemuona shemeji bana alah mpaka nimtaje!??

Inside a Verossa he slowly took off her top and
As it came off her head, off also went all warnings from her mama,

Hahahah, kwamba as kitop kilichokuwa kinatoka ndivyo mausia ya mama yote yalivyotoka nayo.

Hahahaha Kaunga naona umeipatia visual image kabisa inavyotokea...

sipandi verosa

Najua nyie ndo mwapanda vitz za kina Kipaji Halisi...ila effect ni hiyo hiyo..

mi nalia na madereva wa STJ, STK, STL, DFP, PT, MT

Nitawaandikia na nyie soonest bwana Fidel80..muache hiyo!!!

both angles have lessons of life.......!
Ila bro nilishuhudia best yangu ameshushuliwa mbaya na msupuu, siku ya siku akamuona best alikuwa kwenye usafiri wa nguvu, nadhani msupuu alishindwa kujua kam aile ni gari ya japan au jeremani, akachanganyikiwaje! wacha aanze kujishaua maraa ooh bofrend yupo nje, mara sipo naye vizuri, am singo, mara its complicated!!! jamaa akampeleka kwao........maskini weee dada wa watu akaanza kujionyesha kwamba yupo tayari kugegedwa! yani hadi aibu wadada!!!

Story yako ni ipi..acha ya besti yako..hehehehe

hazina madhara kama verosa?

Kwani una miaka 12 mamii??

Because of chips others lost the same.

Ahaha usinkumbushe mabinti wa IFM..dah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom