Presha ni ile hali unayoisikia baada ya kutaka kula tena makombo ya Honey Faith afu kijike kikakudindia tehUnajifariji eti? Presha ndio nini?
Marhabaa Heaven Sent mzima?Shikamoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], daah kama kweli vile. Amkianeni kabisaHabari rogie!
Salama atoto
Mzima kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wa macho ya atoto [emoji125] [emoji125]Marhabaa Heaven Sent mzima?
Presha ni ile hali unayoisikia baada ya kutaka kula tena makombo ya Honey Faith afu kijike kikakudindia teh
Hihihihihihi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Daaadek ualimu unakufaa mpendwa katika Bwana....!!!! 100/100
Mbona hata sielewi ni nini unaongelea?Presha ni ile hali unayoisikia baada ya kutaka kula tena makombo ya Honey Faith afu kijike kikakudindia teh
Ndio nini hiyo.Si unajua nilikimbia umande?Najua umenimiss ironically
Sijakuelewa unajua Heaven Sent.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], daah kama kweli vile. Amkianeni kabisa
Mkuu unajua siwezi kuwa na mtu anamtaka kila mtu
Njoo gheto nikuelewesheNdio nini hiyo.Si unajua nilikimbia umande?
Sikumdindia hata robo nilimuonea huruma nikajitolea kumuachiaPresha ni ile hali unayoisikia baada ya kutaka kula tena makombo ya Honey Faith afu kijike kikakudindia teh
Nawe unadinda?Sikumdindia hata robo nilimuonea huruma nikajitolea kumuachia
Gheto tena mhhhh?Njoo gheto nikueleweshe
Yakinipanda huwa nadinda[emoji34]Nawe unadinda?
Kumbe ulimwagwa?hata sijui jamani poleeeeee[emoji101]Hahahaha unajua alishanimwaga so naimani she doesn't give a **** about my absence.