sijapita wapi tena figganigga?
hapana....tatizo mume wangu hajajua kua sie hatujakutania Jf....
habari za asubuhi Mume wangu.......
mi nalia na madereva wa STJ, STK, STL, DFP, PT, MT
Mi nawaangalieni tu.
Ninamiliki baiskel Phoenix new model turbo, ila imeisha matairi, nasubiri bosi wangu Mhindi anilipe mshahara nibadilishe tairi nianze kuwatesa mtaani.... utanipenda...
poa. nakutakia usiku mwema. miaYeah, nipo sana tu figganigga
Huyu Baba V hana huruma kabisa na mbavu zangu.
Huku kwetu Tanga twaendesha SEHEWA, CHOPA BIKE na VESPER.....VEROSSA hata sijejua mie. Wekamo basi kapicha ili nikiiona nitoke nduki swaiba