Verossa

Verossa

mwambie aseme neno moja tuu
roho yako ipate amani
halafu wewe nikikuambia mimi
nataka kuwa mtawa unadhani natania, si unaona nasalitiwa mchana kweupe
na shosti yangu kabisa. huyu Kaizer sijui hata
nimfanye nini?
 
Last edited by a moderator:
laughing.gif
Nakupenda sana DEMBA....
 
nimewapenda bure wachangiaji lolz!
sredi ilikuwa ya kuhuzunisha mmeiharmonize vizurii kbs,
ndani ya verosa daah..........!
 
Back
Top Bottom