Vema taarifa hizi ziendelee kutolewa

Vema taarifa hizi ziendelee kutolewa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,686
Reaction score
867,948
Kuepuka kuonekana kama mmoja alisafiria nyota ya mwenzake ni vema zile taarifa za kila mwezi ziendelee kutolewa bila kujali kushuka ama kupanda kwa idadi

-Taarifa za kuvunja makusanyo ya kodi
-Taarifa za wafanyakazi hewa kwa kila mkoa na kila idara
-Taarifa za waliohakikiwa mpaka sasa
-Kazi zilizo kwisha fanyika at least kwa mwaka huu wa kwanza wa awamu ya tano

Gavana wa benki kuu Prof. Ben Ndullu alitoa takwimu za uchumi kukua kwa kiwango cha 5.5! Huu ni mweleka kwakuwa kipindi cha mwisho wa utawala wa awamu ya nne takwimu zilionyesha kuwa uchumi unakua kwa asilimia 5.7

Kuna kitu cha kutisha zaidi kimeanza kujitokeza, ile tofauti kati ya matajiri na walalahoi tuliyoaminishwa itaondoshwa ni kama imekufa kifo cha asili
Kinachoonekana sasa ni matajiri wale wale waliokumbatiwa na serikali zilizopita ndio hao hao wanazidi kupewa kipaumbele huku walalahoi wakiwekewa vizingiti vya kila aina...

Ni kama Mkapa anarudi kimyakimya
Kwasasa zinazotamba ni kampuni nyingi za kigeni kwenye kila sekta huku za walalahoi zikizidi kudhoofika! Na mgeni akilipwa chake hakilali hapa nchini kinapelekwa kwao

Vyovyote iwavyo basi endeleeni tu kutupatia takwimu ili tujue tulikotoka tulipo na tuendako
 
Kaka Mshana Jr we hizo taarifa unazitilia maanani ?! Zile ni porojo as usual.
1. Zingekuwa na uhalisia wanachuo wasingedhalilika, tusingekosa pesa za kusaidia mkasa mmoja tu wa Kagera, wala tusingekosa kuwaajiri vijana wanaozunguka na vyeti vyao mitaani
 
mod hawajaona hii nini maana duuu siku hizi hapa jamvini ni ccm tu ndio w3naruhusiwa kurusha uzi.

swissme
[emoji3] [emoji3] [emoji3] naamini hii itaachwa maana uhakiki wa TIN number umewaacha wengi midomo wazi! Yani ni kama vile zinatafutwa kazi za kufanya kwa nguvu huku tukikamuliwa hata kile kidogo tulichonacho
Kule kupanda gari na kwenda TRA kupanga foleni ndefu siku nzima ni adha tosha! Tunahujumiwa bila huruma , tunaumizwa huku tunaona tabaka sasa limeanza kuonekana wazi
 
kila kitu ni mpango natumaini wameishapanga sijui amri kutoka juu?sawa lakini kila kitu kina mwanzo na mwisho Mungu anawaona na bwana yule.

swissme
 
Kuepuka kuonekana kama mmoja alisafiria nyota ya mwenzake ni vema zile taarifa za kila mwezi ziendelee kutolewa bila kujali kushuka ama kupanda kwa idadi
-Taarifa za kuvunja makusanyo ya kodi
-Taarifa za wafanyakazi hewa kwa kila mkoa na kila idara
-Taarifa za waliohakikiwa mpaka sasa
-Kazi zilizo kwisha fanyika at least kwa mwaka huu wa kwanza wa awamu ya tano
Gavana wa benki kuu Prof. Ben Ndullu alitoa takwimu za uchumi kukua kwa kiwango cha 5.5! Huu ni mweleka kwakuwa kipindi cha mwisho wa utawala wa awamu ya nne takwimu zilionyesha kuwa uchumi unakua kwa asilimia 5.7
Kuna kitu cha kutisha zaidi kimeanza kujitokeza, ile tofauti kati ya matajiri na walalahoi tuliyoaminishwa itaondoshwa ni kama imekufa kifo cha asili
Kinachoonekana sasa ni matajiri wale wale waliokumbatiwa na serikali zilizopita ndio hao hao wanazidi kupewa kipaumbele huku walalahoi wakiwekewa vizingiti vya kila aina... Ni kama Mkapa anarudi kimyakimya
Kwasasa zinazotamba ni kampuni nyingi za kigeni kwenye kila sekta huku za walalahoi zikizidi kudhoofika! Na mgeni akilipwa chake hakilali hapa nchini kinapelekwa kwao
Vyovyote iwavyo basi endeleeni tu kutupatia takwimu ili tujue tulikotoka tulipo na tuendako
Mshana hivi umemis kupigwa BAN. Muulize swiss me. Ha ha soon utapotea tena jf
 
Tatizo lipo kwetu sisi wapokea taarifa.
 
Ukweli kama huu ndugu zetu hawapendi kuuona wala kuusikia, hawachelewi kukuita mchochezi.
 
which innovation ideas iliyoletwa na serikali ya awamu ya tano ambayo inaweza kutupeleka uchumi wa kati na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda?
 
Back
Top Bottom