Labda mikataba na Mtukufu MfalmeIvi which innovationa ideas iliyoletwa na serikali ya awamu ya tano ambayo inaweza kutupeleka uchumi wa kati na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda?
Hawawezi maana ni kweli tupu, wao ndo wachochezi.mkuu utaitwa mchochezi kwa huu ukweli Sir.
swissme
Anglau kama nawengine kama wewe mnaona UTEMBO WA MAGUFURIWatendaji wanafanya mambo kwa hofu na kwa dhamira ya kumpendezesha Mkuu, hata kwa yale yenye kuhitaji weledi na ukweli. Hali ni tete ndani ya chama, kuna watu mchana wanasifia usiku wana vikao vya namna ya kudhibiti "UTEMBO" wa Mheshimiwa.
Kuna wizara imeshamaliza fedha yote ya bajeti ya mwaka huu sasa waziri akitaka kusafiri anaomba fedha Idarani ambako nako zimeisha..meanwhile mzee kasema akisikia mtu analalamika bajeti ndogo atarara nae mbere...Niambie tunakwenda wapi?
Sioni kosa kwa muheshimiwa kutoa mada hii kulingana nakatiba anaruhusa hyo katiba yetu ibara ya 18Inaonekana kazi ya usangoma inalipa haiwezekani mtu uweke rehani milioni saba nje nje namna hii...
Uko sawa mshana jr kulingana na katiba yetu hayo ni maswala ya muhimu tuyajueKuepuka kuonekana kama mmoja alisafiria nyota ya mwenzake ni vema zile taarifa za kila mwezi ziendelee kutolewa bila kujali kushuka ama kupanda kwa idadi
-Taarifa za kuvunja makusanyo ya kodi
-Taarifa za wafanyakazi hewa kwa kila mkoa na kila idara
-Taarifa za waliohakikiwa mpaka sasa
-Kazi zilizo kwisha fanyika at least kwa mwaka huu wa kwanza wa awamu ya tano
Gavana wa benki kuu Prof. Ben Ndullu alitoa takwimu za uchumi kukua kwa kiwango cha 5.5! Huu ni mweleka kwakuwa kipindi cha mwisho wa utawala wa awamu ya nne takwimu zilionyesha kuwa uchumi unakua kwa asilimia 5.7
Kuna kitu cha kutisha zaidi kimeanza kujitokeza, ile tofauti kati ya matajiri na walalahoi tuliyoaminishwa itaondoshwa ni kama imekufa kifo cha asili
Kinachoonekana sasa ni matajiri wale wale waliokumbatiwa na serikali zilizopita ndio hao hao wanazidi kupewa kipaumbele huku walalahoi wakiwekewa vizingiti vya kila aina... Ni kama Mkapa anarudi kimyakimya
Kwasasa zinazotamba ni kampuni nyingi za kigeni kwenye kila sekta huku za walalahoi zikizidi kudhoofika! Na mgeni akilipwa chake hakilali hapa nchini kinapelekwa kwao
Vyovyote iwavyo basi endeleeni tu kutupatia takwimu ili tujue tulikotoka tulipo na tuendako
Kilianza kujengwa wakati hajafikiria hata kuwa raisKwani hamjaona kiwanda cha Kusindika Matunda Raisi kakizindua? huo ni mwanzo tu wa Nchi ya Viwanda