Beautifulgirl
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 300
- 265
Wewe si wakuaminikaNaunga mkono hoja
Pasco
Wewe si wakuaminikaNaunga mkono hoja
Pasco
Inawezekana wameshalambishwaSiku hizi mtu akishusha nondo nzito hapa jukwaani Mods fasta sana wanaimerge na thread nyingine laini laini, Sijui tumekuwaje siku hizi!
Kuepuka kuonekana kama mmoja alisafiria nyota ya mwenzake ni vema zile taarifa za kila mwezi ziendelee kutolewa bila kujali kushuka ama kupanda kwa idadi
-Taarifa za kuvunja makusanyo ya kodi
-Taarifa za wafanyakazi hewa kwa kila mkoa na kila idara
-Taarifa za waliohakikiwa mpaka sasa
-Kazi zilizo kwisha fanyika at least kwa mwaka huu wa kwanza wa awamu ya tano
Gavana wa benki kuu Prof. Ben Ndullu alitoa takwimu za uchumi kukua kwa kiwango cha 5.5! Huu ni mweleka kwakuwa kipindi cha mwisho wa utawala wa awamu ya nne takwimu zilionyesha kuwa uchumi unakua kwa asilimia 5.7
Kuna kitu cha kutisha zaidi kimeanza kujitokeza, ile tofauti kati ya matajiri na walalahoi tuliyoaminishwa itaondoshwa ni kama imekufa kifo cha asili
Kinachoonekana sasa ni matajiri wale wale waliokumbatiwa na serikali zilizopita ndio hao hao wanazidi kupewa kipaumbele huku walalahoi wakiwekewa vizingiti vya kila aina... Ni kama Mkapa anarudi kimyakimya
Kwasasa zinazotamba ni kampuni nyingi za kigeni kwenye kila sekta huku za walalahoi zikizidi kudhoofika! Na mgeni akilipwa chake hakilali hapa nchini kinapelekwa kwao
Vyovyote iwavyo basi endeleeni tu kutupatia takwimu ili tujue tulikotoka tulipo na tuendako
Nani anafuata katiba utawala huu...!?!?Sioni kosa kwa muheshimiwa kutoa mada hii kulingana nakatiba anaruhusa hyo katiba yetu ibara ya 18
View attachment 424005
Isomeni jaman
[emoji3] [emoji3] [emoji3] naamini hii itaachwa maana uhakiki wa TIN number umewaacha wengi midomo wazi! Yani ni kama vile zinatafutwa kazi za kufanya kwa nguvu huku tukikamuliwa hata kile kidogo tulichonacho
Kule kupanda gari na kwenda TRA kupanga foleni ndefu siku nzima ni adha tosha! Tunahujumiwa bila huruma , tunaumizwa huku tunaona tabaka sasa limeanza kuonekana wazi
Kuna form ya kujaza yenye vipengele na mahitaji kibao[/QUOTE
[emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mshana ruuuuuuun [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahhaa cheuc hatariiiiii mimi nduguyo sina 3.7mil yakukuchangia[emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
which innovation ideas iliyoletwa na serikali ya awamu ya tano ambayo inaweza kutupeleka uchumi wa kati na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda?
Onhooooo [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ndukiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo jina hilo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]