Nyani Ngabu,
..Jiwe anapenda kuvaa kijeshi lakini askari wetu wanapofariki wakiwa ktk majukumu yao hajitokezi kuwaaga.
..baadhi yetu tulipinga kitendo cha Uhuru Kenyatta kuvaa kijeshi. Na hiyo ilikuwa kabla Magufuli hajawa Raisi.
..suala la Jiwe kuvaa kijeshi na ukakasi anaosababisha lilielezewa vizuri na Kiranga.
Cc tindo, Malcom Lumumba
Tena totally imbecile walahi
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!
Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!
Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.
UwiiiYaani ni dunderhead kabisa.
Mbona unakwenda nje ya mada? Chuki zitakufanya kuwa amberruty mkuuKenyatta anajitambua.
Alijiandaa kuwa rais
Huyu wakwetu ilikuwa sandakalawe..., mwenyekupata ..apate
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!
Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.
Mbona unakwenda nje ya mada? Chuki zitakufanya kuwa amberruty mkuu
Jemedari mkuu wa majeshi kutoenda kuwaaga Askari wanaopoteza maisha yao wakiwa kwenye mission ni valid criticism.
Lakini haya ya magwanda ya kijeshi ni triviality tu.
Mi mwenyewe hapa ni camouflaged T-shirts kadhaa....
vitendo ndiyo vinasema huyu ni dikteta au laa siyo mavaziHoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.
Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.
Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?
..wanaom-criticize kwa kuvaa mavazi ya kijeshi wanaamini anafanya hivyo kwa nia ya KUTUNISHA MISULI na KUWATISHA wananchi.
..suala lingine ni kwamba wako wanaoamini kwamba Jiwe ni Dikteta, kwamba anatawala kiimla. Sasa kiongozi wa namna hiyo akivaa kijeshi ndiyo anazidisha ile imani kwamba anakwenda kuongoza kijeshi-jeshi kuliko kiraia.
Cc Kiranga
Mtani Nyani Ngabu, mbona hata Rais Magufuli alitinga 'gwanda za kijeshi' kule Arusha? Rais aweza kuvaa atakavyo, kikubwa ni kuwa mavazi ya heshima na staha
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!
Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.
Bavicha.Mliambiwa na nani?
Mtani Nyani Ngabu, mbona hata Rais Magufuli alitinga 'gwanda za kijeshi' kule Arusha? Rais aweza kuvaa atakavyo, kikubwa ni kuwa mavazi ya heshima na staha
Ndio hao wanaouliza aliambiwa na nani! Wana akili za panzi yaani processor zao ni robo bit.Ngoja waje.