Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

Mbona unaanzisha mada halafu unajijibu mwenyewe umeanza kushutumu kabla hata watu hawajasema. Kwani huwezi kuanzisha mada bila kuwagusa hao makamanda?.
Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.

Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.

Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?
 
Hivi unajua kuwa Rais wa Kenya ana vazi maalum la kijeshi ndani ya jeshi? Huyu wa kwetu hata haelewi taratibu za mavazi ya kijeshi. Yan anadandia dandia tu!
Acha Chuki zisizo na msingi.
 
Uzi wa hovyo sana huu, Lissu angeita proffesorial rubbish! Hata siku Magu anavaa kijeshi Uhuru alikuwa keshavaa hivyo hivyo!

Uzuri wa Kenyatta ni kwamba anaweza kuvaa vazi hilo na kuruhusu democracy itamalaki!
 
Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.

Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.

Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?
Nani kakuaminisha wewe???
 
Uzi wa hovyo sana huu, Lissu angeita proffesorial rubbish! Hata siku Magu anavaa kijeshi Uhuru alikuwa keshavaa hivyo hivyo!

Uzuri wa Kenyatta ni kwamba anaweza kuvaa vazi hilo na kuruhusu democracy itamalaki!

You’re stupid
 
Hivi unajua kuwa Rais wa Kenya ana vazi maalum la kijeshi ndani ya jeshi? Huyu wa kwetu hata haelewi taratibu za mavazi ya kijeshi. Yan anadandia dandia tu!
Rais si ndy amiri jeshini mkuu ......
Mkubwaaa wa wajeda wote hata cheo anaweza jipachika cha kijeshi...
Au iko vp?

Ova
 
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!

Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.

Uhuru sasa ana akili kuliko hicho kiazi unachokisemea!
 
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!

Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.

Sisi sikukuu ya uhuru inafutwa na kiongozi asiyeamini tumepata uhuru, uhuru atauleta yeye
 
Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!

Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.

Wewe ni fala kweli,matendo ya Magufuli na Kenyatta ni sawa? Magufuli alipovaa alifanana na Idd Amin kwa Sababu magufuli ni Dikteta,Kenyatta ni tofauti kwa Sababu yeye ni muungwana
 
Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.

Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.

Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?
Alipovaa yale magwanda nani alijali? acha umbea wako wa kike wa kila kukicha!
 
Back
Top Bottom