Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.

Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.

Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?
Watu hawamshangai Uhuru Kenyatta kuvaa alivyovaa leo. kwanza kabisa siyo mara ya kwanza kuvaa hivyo, kama inavyoelezwa hapa chini:
"The president first wore the military gear in 2014 when he presided over a military function at Archer’s Post in Samburu. He also wore the uniform in the same year during the Kenya Defense Forces (KDF) Day at the Kenya Military Academy in Lanet, Nakuru and also at the Kenya Navy’s 50th anniversary celebrations in Mombasa, all in 2014. Again, in 2016 he wore the uniform during the General Service Unit (GSU) pass out parade in 2016." Soma hapa.
Pili, Uhuru siyo rais wa kwanza kule Kenya kuvaa mavazi hayo. tunaambiwa:
"The Red Tunic donned by President Uhuru was also worn by former Presidents Mzee Jomo Kenyatta and Daniel Moi although Mwai Kibaki is not known to have worn military uniform."
Jomoregalia.png

Hapa ni Rais Jomo Kenyatta, baba yake Uhuru akiwa amevaa mavazi hayo maalum.
Tatu, vazi hili ni maalum kwa ceremonies, kama tunavyosoma:

"Kenyan soldiers wear the red tunic which they call the service uniform on certain occasions.

These are worn by soldiers in situations where formal dressing is called for. The full-service dress which generally consists of polished black shoes, trousers, a pressed collared shirt and a coat is worn during special events and ceremonies such as state functions, funerals, and weddings." Soma Hapa

Kwa hiyo Nyani, Wakenya hawakushangazwa na hatua hiyo ya Uhuru, kama ambavyo watanzania walishangazwa kwa kitendo cha Magufuli kuvaa nguo "combat dress". Wanajeshi wanayo mavazi aina mbalimbali, Combat dress ni maalum kwa vita au mazoezi ya kijeshi. Hapakuwa na sababu maalum ya maana kueleza kitendo cha Magufuli kuvaa nguo zile, wakati kwa marais wa Kenya hiyo ni Tradition tayari. lakini Magufuli akiwazoeza watanzania kumuona kavaa Combat, watamzoea na wala hawataongelea tena.
 
View attachment 966160

Pettiness.

Magufuli alivaa hayo magwanda akiwa anahutubia Nkrumah hall au?
 
elewa hoja, usiwe na haraka mno. event hiyo ya Uhuru kulikuwa na special occassion ya kuhand over bendera kwenye 17th battalion. lakini pia hoja kubwa ni hiyo TRADITION. kwa wenzetu wa kenya. hapa kwetu haipo
 
Haipo kwa mujibu wa nani?

Nimekuuliza context aliyovaa Magufuli hayo magwanda, umekwepa swali.
 
swali lako halina maana yoyote, kwa sababu mimi nimekueleza sababu za uhuru kuvaa hayo magwanda, na kwamba siyo combat dress, ni ceremonial. na ceremony nimekuambia. Magufuli niliona tu kavaa combat yuko na CDF. mimi sipingi magufuli kuvaa combat dress, lakini issue ni ile uproar iliyotokea, na ndiyo hoja yako kwamba kelele zilikuwa nyingi, akaitwa diktteta. fine. ninachosema ni kwamba KULIKUWA NA HAKI YA UPROAR, SABABU NI MARA YA KWANZA.

By the way, kuna a psychological issue kwa magufuli na mambo ya jeshi. kuvamia maduka ya fedha katumia wanajeshi. Kununua korosho katumia wanajeshi. na anajisikia sana akiwa na wanajeshi. na akivaa nguo za kijeshi. you can read the gestures. kwa Uhuru ni tofauti. anaendeleza tradition yao. kwa hiyo watu kuconnect udiktetta wa magufuli na mavazi hayo ya combat nayo haiko mbali sana na ukweli
 
Unalikwepa swali kwa kuwa dismissive!

Bye 👋
 
Michadema imeambukiza watoto wetu "pinga pinga syndrome"
 
Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.

Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.

Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?
Kwann unafananisha Uhuru na vitu sio tuanzie hapo
 
Hivi unajua kuwa Rais wa Kenya ana vazi maalum la kijeshi ndani ya jeshi? Huyu wa kwetu hata haelewi taratibu za mavazi ya kijeshi. Yan anadandia dandia tu!
Huyu hapa kajitokeza,,, anavaa vaaa tu ungeona kavaa nguo ya kijeshi imeandikwa G Sam lakini imeandikwa Jina lake ina maana inamuhusu yeye
 
Kenyatta anajitambua.
Alijiandaa kuwa rais
Huyu wakwetu ilikuwa sandakalawe..., mwenyekupata ..apate
aliselamaa..alijah...selemaselema...alijah ....! Pushup majukwaani,kutoka kwenye gari kutumia Dirisha ...Bado watu hawakuona kuwa Mwenzetu anachangamoto ya afya ya naniliu...na majuzi huko Mara akakiri mwenyewe!😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom