Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

Vazi la Rais Uhuru Kenyatta

Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.

Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.

Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?
Uhuru kama jina lake ni baba wa demokrasia huku mikutano tu ccm inaogopa inawaweka watu ndani
 
Na Rais Magufuli Mwakani atavaa halafu tusikie fyoko fyoko.
 
You’re stupid
Everbody is stupid we only differ on the degree of stupidity! Basing on this thread you we unaongoza!

Katika research we only cite the gurus as literature review

Then wewe unabana pua na kusema uliambiwa na kamanda! So stupid
 
You are dumb.
 
Mbona vingine hamtaki kuiga kutoka Kenya?
 
We huoni hapo vinala wa NASA raila mudavadi, kalonzo na wetangula wapo hapo wamealikwa na wamekaa meza kuu, na amewapigia salute, sasa jiulize angekuwa jiwe angefanya hayo.
 
Unajuaje kama
Hivi unajua kuwa Rais wa Kenya ana vazi maalum la kijeshi ndani ya jeshi? Huyu wa kwetu hata haelewi taratibu za mavazi ya kijeshi. Yan anadandia dandia tu!
Rais wa Tanzania Hana Vazi la Jeshi jeshini?au wewe unajua sana taratibu za jeshi kuliko jeshi lenyewe?
 
We huoni hapo vinala wa NASA raila mudavadi, kalonzo na wetangula wapo hapo wamealikwa na wamekaa meza kuu, na amewapigia salute, sasa jiulize angekuwa jiwe angefanya hayo.
Ataonaje wakati anaangalia kwa "jicho la tatu"

Angekuwa Unguja au Mombasa wangeshalila hilo hicho

Inaonekana liko "ndindindi"
 
Back
Top Bottom