Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,998
Typical Nyani ngabu, no balls for real arguments. bye.Unalikwepa swali kwa kuwa dismissive!
Bye đź‘‹
Typical Nyani ngabu, no balls for real arguments. bye.Unalikwepa swali kwa kuwa dismissive!
Bye đź‘‹
Magufuli alishavaa hivyo ila sikumbuki kama aliitwa dictator
HAHAHAHA wewe ndio walke wanao ongelewa kwenye huu uzi kwanin akijitapa wewe unawashwa nini? kama unafikiri kuwa Rais ni rahisi kachukue fomu hahahaha TANAPA bhanaTatizo la Magu ni kuvaa hilo jeshi na kuanza kujitapa kwamba yeye ndio Jemedari Mkuu wa Majeshi. hayo ni maneno ya kidicteta kutisha watu.
Nani aliyekuaminisha hivyo, alishavaa kwani tulisema, udikteta unakuja kwa matendo yanayofanyikaHoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta.
Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia.
Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta?