Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

Bado ngoma ngumu makubaliano waliyo ingia hayatekelezeki kama yalivyo paswa kuwa kila pande inataka kusikilizwa zaidi na kutimiziwa mahitaji yake.

Mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni serikali ya China wala sio vatican maana hata wakiamua kufuta kanisa katoliki China na wakatengeneza la kwao wanaweza.

Papa alipofanya trip ya nchi ya jirani ya Mongolia mwaka jana aliisihi serikali ya Beijing ilegeze mashariti na iwape uhuru wa kuchagua viongozi wake wa kiimani kutoka Vatican kwa ajili ya kanisa lao.

Serikali ya Beijing bado ipo kimya labda miaka ya baadae watakubaliana na hapo lazima mmoja akubali kuwa chini and obviously binafsi naona katoliki lazima tu atakubali kuwa chini maana wakomunisti wale ni wabishi na wana misimamo.

Buddhism, Islam, Falun gong hawa wanawafahamu wakomunisti wale wa Beijing
Mchina hatakubali kanisa liwe na nguvu kuliko mamlaka yake
 
Sema huyu Papa sijui anatupeleka wapi! Anyways, tunamuamini na kumtii Mungu si Papa.
Like father like son! yeye amesema kuwa wote wameelewa. Bado kidogo tu ninyi wakatholic wa afrika. DINI IMEVAMIWA NA SHETANI.
 
uislamu ulianzishwa na papa sasa jiulize dunia nzima waislamu wapo wapi.... najua mtabisha na hasira itakua kali ila nyie ni kadini ka majaribio papa aliona aanzishe kuwavuruga tamaduni ya kanzu
Yaani nikama Osama na USA walivyogeukana, na ndiyo ilivyo Islamic na Papa au Katoliki
 
Ukisoma tu hizo points utagundua tu VATICAN ina jambo maalumu ktk uanzishaji maalum.... Structured.....
Kwa nje ni kama society ya AMAN yenye viongozi WAPOLE, WANYENYEKEVU....
 
Back
Top Bottom