Lakini jesuit waliona kuwa kama katoliki ingeshiriki katika hili baadaye ingekuja kuwa critized. So what, they decided to create part B church (Islam) to accomplish the mission and MUD the jesuit was given the task before he bertrayed and started claiming he received from God.
Kulikuwa na mfumo unaitwa pope Bill ndo ilianzisha Islam
Jesuit walikuwa bado awajaanza .
Wakristo mnasema Uislamu ni Dini ya Kishetani! Hapa mnatuambia Dini ya Kishetani ilianzishwa na tawi muhimu wa Ukristo! Kwahiyo mnataka kutuambia huo Ukristo kumbe ni Ushetani kwavile haiwezekani asiye shetani kuanzisha taasisi yenye nguvu kubwa za kishetani?!
 
Unamsikia mkristo 1
Unasema wot au wanaamin hvyoo?
Jua Kuna 2billions Christian
 
Unamsikia mkristo 1
Unasema wot au wanaamin hvyoo?
Jua Kuna 2billions Christian
Tuanze wewe mwenyewe basi! Kwa mujibu wa post yako hapo, Uislamu ulianzishwa kutokana na Mfumo wa Pope Bill. Mambo ya Pope yapo kwenye Ukatoliki! Wewe unajiita Jesuit ambayo na yenyewe ni mambo yaliyo kwenye Ukatoliki! Kwa maana nyingine, ni sawa na kusema wewe binafsi na Wakatolik mnaamini Pope Bill ambayo ni ya Kikatoliki ilianzisha dini ya Kiislamu ambayo ni ya Kishetani!!

Sasa dhehebu linaloanzisha dini ya kishetani linajitenga vp na ushetan, including wewe mwenyewe unayejiita jina linalotokana na mfumo ulioanzisha dini ya kishetani?!
 
Mnapendaga neno shetan??
 
Back
Top Bottom