Vasco aaga tena: Baada ya Saudia, maneno Botswana

Dilunga

JF-Expert Member
Apr 8, 2009
679
49

04_09_z95u77.jpg

Vice president Dr. Ali Mohamed Shein bids President Jakaya Kikwete farewell
at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam thursday shortly
the Head of State flew to Gaborone, Botswana, on a two-day official visit.
 
Hapo mtalii wetu ndipo anapo niacha hoi, yeye yanayo endelea nchini kwake akaaa, kazi ni kujiweka matawi ya juu kwa nchi za wengine, Ndo maana majirani zetu wanadhani ni the best president ever wakati wa bongo tunamuona ni the worst!
 
Hapo mtalii wetu ndipo anapo niacha hoi, yeye yanayo endelea nchini kwake akaaa, kazi ni kujiweka matawi ya juu kwa nchi za wengine, Ndo maana majirani zetu wanadhani ni the best president ever wakati wa bongo tunamuona ni the worst!

Ni uvumbuzi tu kwa kwenda mbele!! Mwache akakae mbali lile kombora la kwenye ze-utamu litakuwa limemchefua sana. Da gama bwana!!!
 
Hivi ni kila safari inagharamiwa na serikali?

Au akialikwa wenyeji wanagharamia?
 
Awali walikuwa wanadai ni mwenyekiti wa AU, lazima aende yeye kama yeye!
 
...safu ya viongozi kwenda kuaga msafara, kisha safu ya viongozi kwenda kupokea msafara!

...hili liinchi linazalisha nini cha kutufanya tuweze kutumbua namna hii hizi pesa za kujiombeleza kila kukicha?!!
 
jamani msishangae rais anaweza akawa na hobby ya kusafiri ambayo ameipta alivyokua foreign affairs miaka kumi....

kinachonishangaza kwa nini makamo aende kumuaga halafu aende kumpokea , kwani aitoshi kupelekwa na driver na bodyguard na kupokelewa nao..
 
kuna nini botswana? siku hiz anaitwa VASCO DA GAMA?!!
nimecheka sna.
hana maana,hotuba ya mwisho wa mwezi itajaa mafanikio ya ziara zake.
unajua ukitaka kujua kuwa huyu rais haoni mbali ni kwamba: utamsikia anasema nchi haiwezi kuendelea bila wahisani. badala ya kuota hotuba za maana anakalia mambo ya ajabu ajabu tu.
 
Ana mpango wa kwenda kujitambulisha kwa Obama pia!
Hiyo siyo mwaka huu.Mpaka mwakani...Mkulu mie huwa nampendia kitu kimoja tu..anajua kupiga pamba..

Kitu ambacho sikipendi katika politics ni kuwa kama Makamu wa Rais..yaani Mzee Shein na heshima zake zote huwa anakwenda kumuaga na kumpokea!

Protokali zilizopitwa na wakati,sijawahi kumuona dubya akiagwa kama huyu Mkulu wetu!


Kazi ya Shein ni nini hasa?
 
sasa kama mwenzake amemwalika huko akatae?

hivi wewe rafiki yako akikualika kwake umtembelee wewe utatoa nje?

Simtetei ila hapa siku za nyuma Khama alikuja Arusha ktk shughuli fulani ya Kijeshi hule Monduli..ndo akamwalika!

Sasa sijui ni kwa nini vingozi wengine kama m7, au Kibaki nao huwa hawaalikwi mara kwa mara kama yeye!
 
naomba mwenye itenary yake ya safari mpaka desemba...

hivi tumeeshawahi kujiuliza gharama za kwenda kumuaga na kumpokea kila almost every week[by average]....kuna haja gani ,dunia ya leo .....yaani inabidi viongozi wakuu waweke kwenye ratiba zao schedule za kwenda kumpokea...ili kuonesha support .....

bado gharama za kuwalipa wakereketwa karibu 200@10,000 kama posho za kwenda kumpokea kila anaporudi[wenzio wanalipwa ati]...messy messy....disgusting!

zamani ilikuwa rais anasafiri na mkewe gharama inakuwa ndogo siku hizi kwenye taifa kuna muhimili wa nne...ambao naye ana safari zake zisizomuhusisha rais ..na inabidi logistic ziwepo...du ..e bwanaaee!!!
 
sasa kama mwenzake amemwalika huko akatae?

hivi wewe rafiki yako akikualika kwake umtembelee wewe utatoa nje?

Simtetei ila hapa siku za nyuma Khama alikuja Arusha ktk shughuli fulani ya Kijeshi hule Monduli..ndo akamwalika!

Sasa sijui ni kwa nini vingozi wengine kama m7, au Kibaki nao huwa hawaalikwi mara kwa mara kama yeye!


wewe hujajuwa taabu au nongwa yetu kwa yeye na mtembezi mkewe...hata wangelala nje mwaka mzima.....KAMA MAENDELEO YANGEKUWA TUNAYAONA ..HAKUNA AMBAYE ANGEMJALI....

TATIZO TUNAONA MAENDELEO ALIYOAHIDI YANAZIDI KUSHUKA NA YEYE KUTWA ...SAFARI ...LAZIMA TUCHUKIE ATI!!!!.....HAKUNA ANAYEJALI SAFARI ...KUNA MARAIS WANASAFIRI ZAIDI YAKE LAKINI KAMA WANANCHI WANAONA CHAKULA MEZANI KILA SIKU,WANAPATA HUDUMA,BARABARA ZINAJENGWA ....SAFARI HAZIWAHUSU.....HUYU SASA KILA ZIARA TUNAIPIGIA HESABU TUNAONA NI HASARA TUUUUU!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom