sasa kama mwenzake amemwalika huko akatae?
hivi wewe rafiki yako akikualika kwake umtembelee wewe utatoa nje?
Simtetei ila hapa siku za nyuma Khama alikuja Arusha ktk shughuli fulani ya Kijeshi hule Monduli..ndo akamwalika!
Sasa sijui ni kwa nini vingozi wengine kama m7, au Kibaki nao huwa hawaalikwi mara kwa mara kama yeye!
Rais wenu alilambwa na mbwa miguu wakati akiwa mdogo!! mtu yeyote ambaye hatulii kwake siku zote yuko kwa watu,mara zote miguu inawasha kutembea,wahenga walisema mtu huyo alilambwa na mbwa miguu yake!! mbwa huwa hatulii ni kiguu na njia muda wote!!
Acha amalize mumpige chini, kwanza sidhani kama anaelewa aliyoyafanya anao ujasiri wa kuja waomba kura tena, bora apotelee mbali huko huko, ccm waje na mtu mwingine!