Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Yes sweetie...!My sweet hubby..
Bado ulikuwa town?
Nilikumiss sana love...
Jiandae twende tukapate dinner!
Yes sweetie...!My sweet hubby..
Hahahahaaaaaa ameitikia wito...unataka aandike essay wakati essay ilimuhusu beibe nasty na yeye aliitwa tumwenzio kajikunja na bonge la essay af we unamwandikia tu neno tutatu.!!! kweli akufukuzae hakwambii toka...
Dah beibe nasty siunajua leo mambo ya church!finally u here tanx God maaana 52 alikua hana hali bt now anasome relief. haya 52 wapi upo mkeo ndo huu hapa
Yes sweetie...!
Bado ulikuwa town?
Nilikumiss sana love...
Jiandae twende tukapate dinner!
beibe nasty nambie my shostito, mwenzio c nikaenda musoma M'Jr c akanichunia! nimerudi zangu nimekuwa mdogo km piriton. . . cjui ndo kalipiza kisasi kwa vile ckumtafta alivokuja?
Dah beibe nasty siunajua leo mambo ya church!
Ila nilishamuona na niko nae hapa....karibu tutoke pamoja kama unapenda!
Mnanionea [MENTION]chaminglady[/MENTION] na beibe nastyHeheheheeee pole shosti muache huyoo anataka kutumiwa kikosi cha mizinga kama sio gari la maji ya kuwasha
Masikin pole inavoonyesha unausongo duuh bas tena mie nshazimika kwa jg full stop
kweli nina usongo na wewe, umejuaje? wewe zimika tu, ukija kuwaka utanikuta nimekusubili. Hiyo njia umepotea sana. Watakufanya uwe una lalamika hadi lini? koti likikubana unalivua. Mia
Raha zetu si tushazizoea aiseee lolAcha tuu nipo hapa nyie mliepotezana kwa mda mfupi kapeaneni raha