Ndo umesemaje sasa apo?we belong togethr, and know that Am riiiight.
Why do you play with my heart why do you play with my mind???
Said wed be forever, said it never die, how could you love me and leave me and never say goodbyee....
When I.......?that nigh without holdng you tight...
Girl each time I try i just brake down and cry.....
Pain in my head ooh Id rather be died jje's.......
Ndo nini kumdanganya mwenzako hivo lakini?
Haya unipe zawadi basi babuAsprin Says Thank You Valentina For This Useful Post
Tatizo zawadi yangu kila siku unaikataa... hivi una allergy na mimba???Haya unipe zawadi basi babu
you know me well, i can not let you down kabisa.Will you love me again like you loved me before?
this time I want you to love me much more...
this time instead just come to my bed
and baby just don't let me doooown
yaan hubby niambie tu ukweli wewe na Vale mna mpango gani? naomba maelezo kwa maandishi.Asprin Says Thank You Valentina For This Useful Post
umejuaje namzuga kama sio umbea. mimi anaamin kila ninachomwambia na mimi vile vile namwaaminNdo nini kumdanganya mwenzako hivo lakini?
Dooh!.nadhani watu wameshazoea,maana cku izi hawawazi kabisa kua heart broken labda stunter na valentina ndo hawajazoea.
Say somthing
afadhali lugha ya malkia huijui,
3.Love is love asee.Nawaza tu.Wadau mwezi wa pili ni mwezi wa kuonesha upendo kwa uwapendao(mwezi wa wapendanao)
Uzi huu una kupa nafasi ya kuweka neno lolote linalohusu upendo,picha,quotes kuenzi mwezi huu
Mimi ninaanza na hii:
1."Upendo haukosi kuwa na adabu,haujivuni....
2."Love is two ways direction"
Hatuna uhusiano wala mpango wowote, labda itokee tu... Valentina alitaka nimuazime chaja yangu ya simu. Tatizo nikimwazima anachelewa sana kuirudisha, kwahiyo nimemnyima. Mashahidi zangu ni Bonny na Raimundoyaan hubby niambie tu ukweli wewe na Vale mna mpango gani? naomba maelezo kwa maandishi.
Hahaha!.afadhali lugha ya malkia huijui,
kikikikkikkk ulichoambulia hapo tu ni my name.
poleee my dear
Nmeteleza shemera!
naomba unieleze kwanza itokee nini? nitakujibu baada ya hapo
hapo sasa nimeelewa.Nmeteleza shemera!