Happy Valentines Day to all Jf Members kwa ujumla wake bila ya kuwasahau
*jje's
*Toto Tundu Stunter
*Faiza fox (hasimu wa wengi a.k.a mama wa ujinga)
*Miss chagga (huyu kasema atawachuna wanaume mpaka mbaki mifupa kisa ile ada ya ex Bf wake)
*Asprin
*Mshana (nakuja kutibu kucha I see)
*Valentina (mamaa wa kulia ndani ya Range)
*HR66 (kuna kukosea na kusameheana,hata kama hujaomba msamaha nimekusamehe)
*ISIS
N.B na wengine wote nawapenda sana
Onesheni mapenzi mubashara kila siku jamani.. sio valentines day tu basi leo guest zoteee na hotel full ...na bora imekuwa siku ya kazi japo najua mmeshaweka booking kama nawaona hiviii afe kipa afe beki ...
HAPPY VALENTINES DAY EVERBODY..NAWAPENDA WOOTE