Valentine's: Just Another Day, Isn't it?!


Kisura

Kisura

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2007
Messages
364
Likes
13
Points
35
Kisura

Kisura

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2007
364 13 35
aaargh, mbona naanza kupandwa na jazba, sasa kukaa kimya kote huko ni kwa nini? si nami leo hii ningekupelekea angalau hayo maua au basi kadi tu... daah, haya bana, wewe waanike wakutamanio hapa tu... lol

back to basics: picha utanitumia kisura? (samahani naanza kuongea kwa hasira..subira inaanza kuwa suruba)
Basi yameisha yale...

Picha? Nisaidie kwanza nitampataje 'admirer' wangu? Nisaidie, nikusaidie...lol!
 
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,419
Likes
81
Points
145
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,419 81 145
Halafu huu utamaduni wa maua ktk mapenzi not African- naona kama tunaiga tu!
Mzalendo, huu utamaduni wetu kabisa... maua yote yanaota kwetu, si unajua kuwa Kenya's export ya maua ni theluthi ya export dunia yote?... maua kibao huku Iringa, Arusha, Rukwa n.k. mengi yake yanaonekana kama mimeo pori tu... ila binadamu tuko progressive, hata katika utamaduni (btw, hii haimaanishi kuwa utamaduni wetu ni nyuma), basi ni katika ile hali ya kuweza kutumia God given natural abundancies na kuzifanya ziwe nyenzo katika jamii, kwa furaha na kwa huzuni. Maua na kujipamba na maua ni mojawapo la hili. Mfano mzuri ni inchi kama Japan, vitu vingi ni vya kitamaduni, lakini vingi vyake vinafanywa katika setting iliyo modern. Au basi angalia jinsi Ghana wanavyojua kujipamba na rangi rangi mbalimbali.... si uliangalia African cup of nations?....wanatumia vitu asilia kujipamba huko, wanasaga rangi mawe na kuyafanya rangi, wanabonda bonda majani na kuyafanya rangi... ikifika time wanatechnolojia nzuri, wataweza kujipamba hivo hivo lakini kwa umaradufu zaidi.

Aisee mimi kila siku ni valentine tu. Mapigo yale yale, mdundo ule ule. Ila ikifika 14th February najikausha kama siijui vile.......makusudi tu.
he he he he, wee kijana, demu/mkeo/mwandani wako anaweza kabisa kujua kuwa unajikausha.... na anafurahia jinsi unavyo mudu hilo nawe kujiona ume win...hilo ni katika ile give and take... lol

Mimi najua jibu, ila chikwambiii ng'oo.
Ni pm basi kunitonya (nianze mashambuli) Nzokanhyiluyapingoshangenu! lol
 
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,419
Likes
81
Points
145
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,419 81 145
Basi yameisha yale...

Picha? Nisaidie kwanza nitampataje 'admirer' wangu? Nisaidie, nikusaidie...lol!
Ahadi ni deni. Kisura kama unakumbuka uliniahidi picha baada ya mimi kukutumia wimbo, lakini mpaka leo hii.... kwa sasa sina uhakika tena na hizi methali zetu... ningeweza kabisa kukusaidia, lakini najihisi hii itakuwa kama 'kanyaboya' nyingine tu. Na itafika mwaka kesho nitapewa ahadi nyingine. Samahani sana, maana naanza kuonekana kukata tamaa sasa.

Nidhihirishie kuwa utanitumi picha na siyo avatar!
 
Kisura

Kisura

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2007
Messages
364
Likes
13
Points
35
Kisura

Kisura

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2007
364 13 35
Ahadi ni deni. Kisura kama unakumbuka uliniahidi picha baada ya mimi kukutumia wimbo, lakini mpaka leo hii.... kwa sasa sina uhakika tena na hizi methali zetu... ningeweza kabisa kukusaidia, lakini najihisi hii itakuwa kama 'kanyaboya' nyingine tu. Na itafika mwaka kesho nitapewa ahadi nyingine. Samahani sana, maana naanza kuonekana kukata tamaa sasa.

Nidhihirishie kuwa utanitumi picha na siyo avatar!
Aaah, taratibu jamani, siku ya wapendanao hii! Umekuwa mkali kweli! Haya, picha tu, what the heck...your wish is granted! Enjoy...
Mimi sasa ngoja nipeleke maua yangu, yasije yakanyauka! Goodday!
 
A

akena

New Member
Joined
Feb 17, 2008
Messages
2
Likes
0
Points
0
A

akena

New Member
Joined Feb 17, 2008
2 0 0
Is a nice day if you are really human being because it is your right to love and be loved,unless otherwise your not a normal person,for me I realy appreciate this day and is a day which I got marriage four years ago
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Kwanza napenda kumshukuru MUNGU kwa uweza wake wa kutulinda na kupumua mpaka siku ya leo hii,
Ndugu wana Jf kama mjuavyo feb 14 sikukuu ya wapendanao
siku hii kwa nilivyo na expirience siku moja ambayo kama unataka iwe mbaya
kwako inakuwa kweli kweli na kama iwe nzuri unafaidi kweli kweli
siku hii inakuwa ngumu sana kwa wale wenye small house ambao wako wengine wakiandaliwa talaka tar 14 feb iwapo awatatokea kwennye nyumba ndogo,....ewe baba ewe mama ewe kaka ewe dada ulie na mchumba mlio na ndoa nawaombea MUNGU siku hii isiwe siku ya talaka wala magombano
kaama uliamua kumpenda mkeo/mumeo na kutamka kwenye shida na raha iweje leo raha wala mwenyewe shida wamwachia MKEO/AMA MUMEO
ktika familia merriage convenant ni silaha moja wapo ya kukaribisha umaskini nyumbani kwako kama utakuwa tofauti
Agano la Ndoa ni kadi ya kutolea baraka ama kuleta lanna nyumbani mwako;ikiwa kadi imekuwa scrachted uwezi toa vile unavyotakaaaaaaaaa vitu vingi aviendi kwenye ndoa ikiwa kuna kutokuelewana ,hata we mwanaharusi mtarajiwa kama umepooza na huku ukitoka nje ya ndoa jua unakaribisha moto nyumbani kwako;
Kwangu valentine day ni kila siku;uskubali ukae mpaaka tar 14 feb ndio unamtoa mkeo ama mumeo out kisa valentine,upendo unaatakiwa kila siku ya maisha yako mkiwa pamoja;omba divine intrvation and wisdmo iingilie kati tukiwa tunaelekea 14feb;Muujiza wa kwanza yesu kufanya ni kubariki ndoa

KUTOKA 4:20

NDOA AITAKIWI IWE NA SCRATCH;KUNA NDOA ZIGINE BABA/MAMA WAKO KAMA MISUKULE...KUNA NDOA NYINGINE MAMA AJUI KAMA KUNA KUTOLEWA OUTING,...KWA WENGINEWALIOOKOKA OUTING NI MPKA MKEWE AJI ANNOINT KUMBUKA MAFUTA NI KUVUNJA NIRA;AKIJIPAKA MAFUTA UNATUMIKA KAMA NIRA
14 FEB IWE SIKU YA KUBADILISHA MAISHA YAKO KWENYE NDOA
WANAWAKE NANY MNAIITAJI KUHESHIMU NDOA ZENU;MFANYE YESU AWEPO NDANI YENU.....ACHENI KUJIKUMBATANISHA OVYO NA WATU;UNAKUTA WAMAMA WENGINE WAKIWAONA WACHUNGAJI WANWAKUMBATIA MPAKA MCHUNGAJI NAE ANAANZA ROBOSHIKANDARABO OOOO RABASHANARABO ANAANZAA KUKUMBATIA KIUNO MWISHO ANAANZA KUSHUSHA MKONO CHINI
MSIWATIE WACHUNGAJI MAJARIBUNI NAO NI BINADAMU;USIMWAIBISHE MUMEO......

YAWEZEKANA PIA KUNA MATATIZO KWENYE NDOA OMBA KWA SIIRI MWITE MUNGU AINGILIE KATI MWAMBIE MBONA 14FEB SITOKI NA MUME WANGU BWANA SHUKA
LUK 7
MAOMBI YENU YAWE KWA SIRI;NDOA SI MUME WALA WALA MKE NDOA NI MUNGU KUKAA NDANI YENU KAMA AKUNA MUNGU KWENYE NDOA SAHAU NI KIOJA

MUH 4:9-10
KUMB 32:0
MITH 3:13....HERI MTU YUE AONAYE HEKIMA,MWANAMKE BORA HUJENGA NYUMBA YAKE BALI MPUMBAVU HUBOMOA,...NATANGAAZA HAITAKUWA KWAKO IN JESU NAME
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Acha kuishi kwenye ndoa kama misukule,mwombe mugu uwe na hekima
biblia inasema hekima ni kuchungulia
jaribu kuchungulia,,usisubiri angala mumeo anapendezwa na nini
kuna wanawake wengine hata perfume awataki kabisa wengine manywele yao yameakaa kama wendawazimu natangazwa kuachiliwa leo hii in jesus name
wanaume wengine twapenda marasta mwambie hny naitaji hela nkasuke rasta jitahidi kuchunguza mumeo anataka nini,wakati mwingine mnachangia waume zenu kutoka nje.............we jifanye kufwata maneno ya atu oohh rasta nyweele za mashetani shauri zako zeituni na marasta yake anakuchukulia umesimama,,,

mapishi

wao wanaume wanwake wengine ati wanakimbilia mkessha ;wanwapikia waume zao chakula saa kumi na moja ati nawahi mkesha kuminambili matokeo yake mumeo anarudi saa 3 usiku akifungua hotpot kwanza yanatoka maji kama mafuriko ya "haiti"

iwafalme 10:8-9 mungu akuongezee uteeele kwenye mahusiano yako

muhubiri 10:10 yafaa kutumia hekima ufanikiwe

mithali 4:1-5 huitaji kuweka kupulizia marashi mengi ili upendwe wengine ukipuliza maruahani yanapanda sijui itakuwa vipi

i petro 3:1-7
mathayo 4


naona valentine ya baraka na furaha na amani 2010,wenye uchumba ikawe ya kutofautishwa,mkkakalishwe kwenye kiti cha utele cha baraka upendo na amani viwe juu yenu

valentine njema
 
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
3,561
Likes
92
Points
145
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
3,561 92 145
jamni mnaniumiza kwani mpaka saa hii cjajua nitakuwa na nani ila hope wadada wa jf hawatanitosa in jesus name
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
jamni mnaniumiza kwani mpaka saa hii cjajua nitakuwa na nani ila hope wadada wa jf hawatanitosa in jesus name
mungu akuatarishe na videmu vya "mizinga" in jesus name viwe jf
,ze utamu nifahamishe na popote pale ukawashtukie natangazwa kuachiliwa kwako
 
Exaud J. Makyao

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2008
Messages
1,523
Likes
12
Points
0
Exaud J. Makyao

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2008
1,523 12 0
Hii siku ya Valentine huwa inakuwa na shamra shamra nyingi sana kwa baadhi ya watu na vyombo vya habari.
1. Je suala la Valentine day limeanzia wapi?
2. Je lengo lake ni nini?
3. Kwani washerekeao huvaa nguo nyekundu?

Siku hii ya Valentine ni kitu cha busara kweli?
 
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
6,803
Likes
379
Points
180
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
6,803 379 180
jamni mnaniumiza kwani mpaka saa hii cjajua nitakuwa na nani ila hope wadada wa jf hawatanitosa in jesus name

na pia in jesus name usiende ukaubea wa kuubeba!:rolleyes:
 
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
5,556
Likes
1,353
Points
280
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
5,556 1,353 280
Limeanzia kwa waabudu mungu jua.
Lengo lake ni kuutukuza upendo kwa tafsiri ya ngono. Yani ni siku ya kutukuza kile kilichomwangusha hawa katika bustani ya eden.
Na washeherekeaji wanavyovaa nguo nyekundu ni ishara ya kujulisha mmoja kwa mwingine kuwa tunda limepevuka na liko tayari kuliwa.
Makyao habari ndio hiyo ila mi mwenyewe simo, najitoa mapema. NGIKERIPHONYIII!!!!
 
O

Omega.Omega

Member
Joined
Jun 29, 2009
Messages
60
Likes
0
Points
0
O

Omega.Omega

Member
Joined Jun 29, 2009
60 0 0
Limeanzia kwa waabudu mungu jua.
Lengo lake ni kuutukuza upendo kwa tafsiri ya ngono. Yani ni siku ya kutukuza kile kilichomwangusha hawa katika bustani ya eden.
Na washeherekeaji wanavyovaa nguo nyekundu ni ishara ya kujulisha mmoja kwa mwingine kuwa tunda limepevuka na liko tayari kuliwa.
Makyao habari ndio hiyo ila mi mwenyewe simo, najitoa mapema. NGIKERIPHONYIII!!!!
Kumbe ni ushetani mtupu.
Hao wapendanao kumbe ni wana ngono?
 
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,464
Likes
179
Points
160
Masaki

Masaki

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,464 179 160
Ni siku ya kujaza gesti tu, na kuhalalisha shopping kwa mademu!! Zaidi ya hapo, 95% ya Watanzania ukiwauliza asili yake ni nini wala hawafahamu.
Kwani kumnunulia mkeo au mpenzi wako zawadi ni lazima usubiri mpaka iwe Valentines Day? Au ktuoka pamoja kwa ajili ya dinner and dance or a movie ni mpaka iwe kwenye Valentines Day? Tena kwa sisi wafanyakazi unaweza kukuta siku hiyo ndiyo una deadlines za kufa mtu na mikutano mpaka saa 4 usiku, bado hujaachwa tu?

Na sasa hivi Bongo ile Halloween ya kuvaa vinyago imesha anza kusheherekewa taratibu, hatimaye nayo tutaiga kama ilivyo. Baadaye tutatangaza baadhi ya beach zetu kuwa ni NUDE BEACH...Kwa kuwa Waafrika ni bendera fuata upepo na kila kitu kinachotoka kwa mzungu ni kizuri!

Hakika nawaambieni, ukishapoteza CULTURE yako unakuwa umepoteza kila kitu. Mataifa yote yaliondelea hivi karibuni kama China, Singapore, Indonesia na kadhalika hayajaathirika na utamaduni wa Kimagaharibi! Wametunza utamaduni wao na ndio maana wameweza kukaa chini, kujipanga upya na kuamsha fikra zao!

Tanzania is a dying nation!
 

Forum statistics

Threads 1,236,202
Members 475,029
Posts 29,249,735