Valentine's: Just Another Day, Isn't it?!

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
May be I'm just hopeless in love or may be I'm just too deep in love as I seem not to care much about Valentine's day, but only bemused as to why should I.

Really, if I have to show that I love somebody, why should I pick a day?! Isn't it right that if you love someone, love manifests itself in many ways throughout your togetherness?!

Pls WanaJF, help me on this and may be I could turn out a good convert after all. Thanks!!

SteveD.
 
..inaoneka huna demu au demu wako ha-mind-shi mambo ya kutoka out na especially siku hiyo. angalia bwana,unaweza kuwa unashika palipokwishashikwa sasa mwenzio ameshika vizuri zaidi!

..otherwise,ni mazungumzo tu.....hata mimi siizimikii kwa sana!
 
i think valentine is a good day to remind friends, lovers, husbands/wives to cherish and celebrate their love. i think once you are in a relationship for a long time its easy to take each other for granted and not allocate special time to romance each other. and so this is why (in my opinion) valentine day is for. to be honest some men only buy flowers/presents for their wives on valentine... sasa just imagine kama there was no valentine day; si wasingenunua kabisa!!

just go with the flow.. dont think about what you want(or not want in this case), but think about how your loved one and how she may want to be spoilt and romanced on v. day.
 
Huu Ni Upuuzi Mtupu Haina Faida Yyte Mkuu Siku Yyte Ile Ni Bomba Na Mie Nnaona Kama Mnaikumbuka Siku Mlioasisi Relation Yenu Au Kuoana Hiyo Ndio Bomba Kwenu, Kutoka Out Na Kufanyiana Mengi Zaidi Na Kutathmini Hatua Mlizopiga Na Kurekebisha Mlipokosea Na Kupanga Mikakati Ya Kufika Mbali Zaidi
 
DsL, naomba unielezee vizuri hiyo naona inaanza kunipandishia mapigo ya moyo hapa nilipo sasa!!
Shukrani...

SteveD.
 
i think valentine is a good day to remind friends, lovers, husbands/wives to cherish and celebrate their love. i think once you are in a relationship for a long time its easy to take each other for granted and not allocate special time to romance each other. and so this is why (in my opinion) valentine day is for. to be honest some men only buy flowers/presents for their wives on valentine... sasa just imagine kama there was no valentine day; si wasingenunua kabisa!!

just go with the flow.. dont think about what you want(or not want in this case), but think about how your loved one and how she may want to be spoilt and romanced on v. day.
Thanks jn!
..I don't know, but personally I think everyday gestures matters more than a single expensive grand gesture. And from my observation, this seems a common philosophy as is shared by many of my colleagues(at work - nyumbani siyaongelei haya- lol)... am i grouping with the wrong crowd?.. i don't know, but loads of girls in that group too... na siyo john visomo hawa ati!! Ooh may be they are just mockin and i might be going with the wrong flow!!

Huu Ni Upuuzi Mtupu Haina Faida Yyte Mkuu Siku Yyte Ile Ni Bomba Na Mie Nnaona Kama Mnaikumbuka Siku Mlioasisi Relation Yenu Au Kuoana Hiyo Ndio Bomba Kwenu, Kutoka Out Na Kufanyiana Mengi Zaidi Na Kutathmini Hatua Mlizopiga Na Kurekebisha Mlipokosea Na Kupanga Mikakati Ya Kufika Mbali Zaidi
Mtu wa Pwani,
shukrani... lakini kwa jinsi ulimwengu ulivyokuwa umejaa anasa siku hizi, yaani unajikuta tu kama mwanajamii nawe uko ndani... ni pale tu unapojiuliza hivi siku na maadhimisho haya ni yanini, ndipo unapopata majibu ambayo usipoangalia yanaweza kukuengua kutoka katika jamii iliyokuzunguka na kukufanya uonekane kama outcast flani hivi... Kama unavyosema, hata mimi naisupport siku ya kuzaliwa na siku ya ndoa, na ndipo hapo ninapoona hizi siku nyingine za kusheherekea wapendanao ni za nini.... kwani unayempenda hajui hilo tayari au wiki, miezi, miaka inapita mkisubiria siku ya wapendanao kuoneshana mapenzi yetu dhahiri?... sipati jibu la haraka, ila kama jn anavyosema hapo juu, saa nyingine mtu inabidi ufate mkumbo tu, usije ukaonekana 'mkoma' vile.

SteveD.
 
February 14th. I think the day is a reminder of love that two people share. Just like we celebrate Christmas every once in a year, remind ourselves of when Christ our savior was born; or Idd Alhaj, or Kwanza or birthdays for that matter. You don't have to spend a fortune, well, some people chose to, lakini it does not make any less/more of its meaning. Don't make a big deal people, relax! It's just a reminder, it's not so much about the flowers or presents, as long as you remind one another of your love, this is the little thing one needs the most in their lives! Tell them, show them as often as you can, anyway you know how, that's the way it goes!

Believe me; you will join me singing WE'RE IN HEAVEN, for the rest of our lives...
 
February 14th. I think the day is a reminder of love that two people share. Just like we celebrate Christmas every once in a year....

Actually, according to the Greeting Card Association,an estimated one billion valentine cards are sent each year,making valentine's Day the second largest card-sending holiday of the year.(An estimated 2.6billion card are sent for Christmas)so Kisura, you can also imagine how much revenue somebody somewhere is generating....it's not just another day!!
 
Waungwana I bet this depends na mtu mwenyewe. Ukweli ni kwamba haya mambo yanaenda na exposure. Kwetu hapa bongo unakuta hata mtu kushikana mikono na GF au BF wake in public is something very difficult (wakulu hamjawahi kuyaona haya?) Kwa mfano mimi I can hardly think about it..(siyo kwamba I dont love my girlfriend..ambaye sina by the way) lakini I find it akward kununua maua na kuyatuma na hizo heka heka nyingine...is there no other way of showing love to the one you love? I bet Iam the most primitive man on this planet!

As jamaa said hapo juu, mi nadhani going for dinner,lunch in a restaurant (nice one) mkakaa, mkaongea, going for holiday (kama una/mna-visenti) nadhani it makes more sense than pretence ya maua. I might be wrong because I have not done it yet, but in anyway..I think love transcends greeting cards and flowers on Valentine. Kwa kweli I have to admit kwa haya mambo niko nyuma sana na I bet hata kama nitaoa, itabidi the would be spouse anisaidie vitu vingi bila ku-compromise my way of living...

Nilikulia typical kijijini nakula samaki na viazi..ohh na maziwa.., I happened to live in the western countries....but yet mtizamo wangu haujabadilika. I hate artificialism sana.

HAPPY VALENTINE DAY TO YOU ALL!
 
Hatimaye nimekuwa 'convert' wa siku. Nashukuru sana kwa maoni yenu. Siku imesha katika hapa bongo lakini ndiyo inaishia hivyoo kwa wale wa ng'ambo... subiri nitume kikadi angalau kimoja basi online!! LOL.

Happy Valentine's Day!!
-----------------------

:) :) :) bora umeipata card!! lol
 
Nani huyo, ;) Care to share??? Sneakyyyyy.......
 
Nani huyo, ;) Care to share??? Sneakyyyyy.......

Wee nawe, picha yako mwaka umepita wala hunipatii...nimecheck kila attachment kwenye mail ninazopata nikitegemea nitapata picha ya kisura niliyo omba miaka nenda rudi wala sioni.. naishia kupata spammers tu... Anyway, Vipi umepokea nini leo hii (huku kwetu ni jana tayari) Mama Afrika?! unaweza uka share nasi? :)
 
Aisee mimi kila siku ni valentine tu. Mapigo yale yale, mdundo ule ule. Ila ikifika 14th February najikausha kama siijui vile.......makusudi tu.
 
Wee nawe, picha yako mwaka umepita wala hunipatii...nimecheck kila attachment kwenye mail ninazopata nikitegemea nitapata picha ya kisura niliyo omba miaka nenda rudi wala sioni.. naishia kupata spammers tu... Anyway, Vipi umepokea nini leo hii (huku kwetu ni jana tayari) Mama Afrika?! unaweza uka share nasi? :)

LOL!!! Hehehehe! Well, I dont know, siku tegemea kitu leo, maana mpenzi wangu amenitosa leo officially! Wakati bado natafakari yaliyonikuta; mchana huu nimekuta meseji kuwa nina delivery huko, na nikaenda nikakuta basket of flowers! Beautiful I may add...Ila, sender, hajaandika jina, najaribu kutafakari nani huyu sasa, Lakini naogopa kuuliza. Ninayemfikiria, labda sie aliyeleta; nisiposema asante, aliyeleta hawezi kuelewa, atajua labda nina mwingine? I'm treading on an edge... Sasa sijui nifanyaje? Ideas???...LOL!
 
Mimi najua jibu, ila chikwambiii ng'oo.
 
aaargh, mbona naanza kupandwa na jazba, sasa kukaa kimya kote huko ni kwa nini? si nami leo hii ningekupelekea angalau hayo maua au basi kadi tu... daah, haya bana, wewe waanike wakutamanio hapa tu... lol

back to basics: picha utanitumia kisura? (samahani naanza kuongea kwa hasira..subira inaanza kuwa suruba)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom