Poa kaka,
Nimeshangazwa na kitu kimoja hapa MMU, naona KE wanatia juhudu kutuma salamu za V day kwa ME na ME vile vile....!!
Ndiyo kawaida yetu kwamba mie na wakubwa wenzangu
Asprin,
Kaizer,
The Boss,
Mbu.
Mtambuzi hatutakiwi kutumiana salamu?
Kwamba lazima niwatumie tu akina
Fixed Point,
snowhite,
MwanajamiiOne,
gfsonwin,
Kaunga,
Nyamayao,
Paloma na wadogo zao wengine??
Kama ni mwiko basi mie nauvunja...
Nawatumia salamu za heri na baraka wana MMU wote (wakubwa kwa wadogo bila kujali wako upande gani kibaiolojia)...