Always and always.. Forever always Angel Nylon 💗💗💗Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?
Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
Nipokee mimiNamtafuta my Valentine🌹
Umetoka kutusimulia kuhusu mali za watu kuwa ni za kuogopaAhadi yangu ya kukupeleka victoria falls ipo pale pale, pia tunaweza kwenda paris pale eiffel tower na kufanya shopping dior na kwa coco chanel.
Nyenzi kabisa.Poker twende Maldives
Kufaa! Mbwaa🤣Nyenzi kabisa.
Utababuka makalio, hupati mtu ng’odo!🙄Ngoja nisubiri najua mabinti wengi humu ndani wananizimikia.
SIna mambo mengi nipeleke tu ZanzibarNipokee mimi
Zanzibar tu! Usijali. Nikajua ungetaka nikupeleke Hawaii huko unifilisi...SIna mambo mengi nipeleke tu Zanzibar
Hatukomoani ni upendo tu ila kama Hawaii unaweza twende piaaaa🤗Zanzibar tu! Usijali. Nikajua ungetaka nikupeleke Hawaii huko unifilisi...