Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,695
- 30,975
Sema kweli!Sure
Wewe uliyaona wapi?
Au uliyafunua ya mgonjwa hospital?
Sema kweli!Sure
Una makengeza weweNa ni mrembo kweli
Duniani kuna Siri nyingi sanaHapo kuna biashara mbili, jichanganye
Nilikuambia wewe una tatizo la ugonjwa wa akili ...nenda hospitali ukatibiwe Mdogo wangu kabla Hali haijawa mbaya zaidi.Huo ugonjwa unao kusumbua, kushobokea watu, dawa yake ni upakwe mafuta ya p didiy, alisema mganga mfawidhi
Fullstop, kwishaaaa
Muonge atenzaAnadrive Ranger.
Tatizo hawa utaina wanaangaika na nafaka kumbe kuna mtu background.Muonge atenza
YawezekanaTatizo hawa utaina wanaangaika na nafaka kumbe kuna mtu background.
Afya tuHiyo miguu ni ugonjwa au
Pita umuungishe mjukuuu wako..Natumai atakuwa anauza mchele mzuri kama wa Kamsamba ama Kyela
Nitapita kumuungisha 🤗
Una ushahidi upi mi ni mdogo kwako?Nilikuambia wewe una tatizo la ugonjwa wa akili ...nenda hospitali ukatibiwe Mdogo wangu kabla Hali haijawa mbaya zaidi.
Nilikuambia wewe una tatizo la ugonjwa wa akili ...nenda hospitali ukatibiwe Mdogo wangu kabla Hali haijawa mbaya zaidi.Una ushahidi upi mi ni mdogo kwako?
Fullstop, kwishaaaa
UmbwaaNi binti mwenye umbo la pekee na sura ya kuvutia. Mrembo na mzuri wa aina Yake.
Kaumbika toka kwenye unyayo hadi utosini.
Her eye catching undisputed beauty makes heads turn.
Despite her good looks she has a good heart ,Jovial and charming.
What makes her exceptional and peculiar is her dimples small nose, thin long face and wide protruding legs.
Ni mzuri huyu binti kila idara. Akikaa ni mzuri akisimama mashalaah akitembea Yesu Mungu.
Nimetokea kumfaham kwenye mitandao ya kijamii Facebook, Instagram na Tiktok na kumpenda. Na labda yupo humu jamvini.
Tumuuingishe jamani kwa kununua nafaka kwake.
Anaitwa Vale Nafaka.
Die hard secret admirer!
View attachment 3467997View attachment 3467998
View attachment 3468050
Basi huu mjadala tuumalize, umeshinda sioni sababu ya kubishana kwa kile nacho kiona ni hisia zako, jah bless y nigaa, may be if you Wana buttle for certain issue au I have *** wiz your g ndo chanzo mkuu mawazo huru tukichangia, mnachukia how comes y hate some one point ilihali human we differNilikuambia wewe una tatizo la ugonjwa wa akili ...nenda hospitali ukatibiwe Mdogo wangu kabla Hali haijawa mbaya zaidi.
Aseme mkoa aliopo..ambulence za milembe zitamfikia kokoteNilikuambia wewe una tatizo la ugonjwa wa akili ...nenda hospitali ukatibiwe Mdogo wangu kabla Hali haijawa mbaya zaidi.
Nimeshaagiza kutoka kwake kilo 120 za mchelePita umuungishe mjukuuu wako..