Vaislay unahtajika

kweli mahaba nivuruge kama kimbunga, watu wana moyo aya kumbe umependa coments zake, ngoja sasa umuone. ila umevumilia sana inaonekana umesoma coments zake ukabidi ujiunge jana na ueleze hisia zako, halafu una mkwara eti upo serious au series nyingne?
 
Haaaa best Vaislay
Vigezo na masharti muhimu kama bendera
 
Last edited by a moderator:
hhahahha yani ulivyonikalia kooni sungura1980 heeee....haya nimekusikia baba

Ukiona hivyo jua nakutakia mema,''akili za kuambiwa changanya na za kwako"!Na sio kila ving'aavyo ni dhahabu pia mshike vema akupandaye ndiyo dhahabu hiyo vinginevyo you may wake up in the morning and realize that you have lost diamond while you were too busy collecting stones!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…