Vaislay unahtajika mrejesho

Vaislay unahtajika mrejesho

wewe hatutaki uzinzi.
Mzigo mpaka ndoa kuku wako manati ya nn? Si atakuja kibandani tu! Nitamla akiwa ndani

Kwa kauli kama hizo ww wala sio muoaji,khaaaa!!! Learn to respect women, utamla amekua kuku huyo?!! Rekebisha kauli mkuu or else utabaki kulilia penzi kwenye social forums!
 
nyie mbona mnanena kwa lugha? Mbon siwaelewi kabisa? Aisee

Tunanena kwa lugha na wewe unanena kwa maandish.
Whats I need sitaki umenimention
Am not ur type ur ar not my type
Mimi na njia Yang na wewe na njia yako....too much mention.
Nakuheshimu na wewe jiheshimu .
 
ila sio siri kuna wanaume ving'ang'anizi jf!!.eh utafikiri wamechinjiwa,kuna mmoja aliniganda mpaka nikabadilisha line kwakweli,...ndo kama huyu matatizo tu
 
usinijie PM kama ulivyoanzisha thread andika yote hapaaa....Unakuja kujiosha PM...
usinijazie PM tafadhali....

ANDIKA HAPAAAA....
 
Aiseeee wewe unanini na mimi??
usitafute kik kwa jina langu tafadhali...We familia yangu unaijulia wapi?? leo hii iwe mwanzo na mwisho kuweka thread yenye jina langu....
Nilishakuambia SIKUTAKIIIII mbona unanifata fata hivyo...yaan umekaa huko na kuanza kufikiri kudanganya watu hapaaa...
USHINDWE TENA NA UKOME

report kwa mods waifunge hii thread kama kweli huifurahii. pole mamii. kuna watu wanakera.
 
P.mbi nyingine huwa zinakosa kazi.

Hivi kweli mtu mwenye majukumu anaweza kufikiria kuamka asubuhi kama hii nakuwaza ujinga wa kuanzisha thread kama hii.

Yani hiki ndicho ulicho kiwaza usiku mzima wajana na ukamua kujakutuonesha utumbo wako.

Pengine inawekana sio kosa lako siku ukiacha kula nyumbani ndio utaelewa ninachokizungumzia hapa.

Kweli kizazi hiki kinapotea kwa kukosa maarifa.😕

.....xx.....xx....xxx....xx....xx.....xxx...xx..xxx...

Mambo niaje.

Bora useme wewe
 
Naaaaaaaam! Waungwana habarin za j4 kwa kila mmoja.

Nimeona sitakuwa muungwana kama kama sitawapa mrejesho wakati nilitamka hadharani hapa kuwa namhitaji mtoto mzuri na mrembo Vaislay na watu mlijitafuna sana kutoa ushauri,na kunisaidia kumshawishi bibie ili akubali ombi ninafuraha kuwaambia kuwa jana ndio nilienda kujitambulisha rasmi kwao.

Nilipokelewa vizuri sana na nimekubaliwa ombi lakuwa mmoja wa wanafamilia yao.
Kwa kweli suala la mahali nimepimiwa kiasi cha kawaida sana ambacho mtu yeyote anaweza kukimudu.

Sasa mjiandae kuhudhuria harusi itakapopangwa
.
.
.
....................
..................................
Cc ICHANA , Dinazarde , Matola , miss neddy , babu Asprin , miss chagga , na wengine weeeeeengi
weka picha za matukio ilivo kua, miss chagga nami nilijitoa muhanga mbona hunijibu jamani
 
Naaaaaaaam! Waungwana habarin za j4 kwa kila mmoja.

Nimeona sitakuwa muungwana kama kama sitawapa mrejesho wakati nilitamka hadharani hapa kuwa namhitaji mtoto mzuri na mrembo Vaislay na watu mlijitafuna sana kutoa ushauri,na kunisaidia kumshawishi bibie ili akubali ombi ninafuraha kuwaambia kuwa jana ndio nilienda kujitambulisha rasmi kwao.

Nilipokelewa vizuri sana na nimekubaliwa ombi lakuwa mmoja wa wanafamilia yao.
Kwa kweli suala la mahali nimepimiwa kiasi cha kawaida sana ambacho mtu yeyote anaweza kukimudu.

Sasa mjiandae kuhudhuria harusi itakapopangwa
.
.
.
....................
..................................
Cc ICHANA , Dinazarde , Matola , miss neddy , babu Asprin , miss chagga , na wengine weeeeeengi

Mkuu naomba uwe kidogo muelewa, binti hataki kuwa na mawasiliano yoyote na wewe lakini unalazimisha.Hiyo ni harrasment mkuu.
 
Back
Top Bottom