V12 power amplifier

zakayohabeli

Member
Aug 14, 2019
58
24
Wakuu tujadili na kusaidiana kuhusu kutumia voltage ndogo katika miziki mikubwa, yaani namaanisha Power amplifier kwa v12. Najua itakuwa ngumu lakini lengo langu ni kuiboost dc v12 kuwa v40

Wakuu tukiweza hili itakuwa vizuri sana.

Msaada kwenu tafadhali

Asanteni.

IMG_20190924_145340.jpeg
 
kuna mwenye Speaker ya Dual Voice Coil nimpe Single VOICE COIL?
mi ninazo mbili DUAL & SINGLE nataka za DUAL VOICE COILS NIFUNGE MBILI KWA PAMOJA IN PARALLEL CONNECTION
 
Je hiyo 40 unaitaka ikiwa single au dual?!
Single 40+v only
OR
Dual + 20v and - 20v
Hata iwe single au double supply haina shida ila tu iingize 12vdc na itoe 40vdc lengo langu nataka niitumie kwenye sound ya transistor mfano hio hapo juu inatumia 40v na mimi nataka niitumie kwenye betrii ya solar yaan ya 12v dc

Msaada mkuu kama una mchoro wa DC to DC boost
 
Mkuu nahitaji mchoro au anaelewa namna ya Ku boost DC to DC

Mfano 12v boost to 40vdc

Msaada tafadhal
 
Mkuu nahitaji mchoro au anaelewa namna ya Ku boost DC to DC

Mfano 12v boost to 40vdc

Msaada tafadhal
kwanini unataka ku boost wakati unaweza design ac-dc supply ya 40V moja kwa moja ?

sio idea nzuri kuwa na components nyingi ambazo zingereplesiwa na component moja
 
'dual' ndio njema, quality bora zaidi, output ya dual inakupa sound ya high NA low half waves

ya single inakupa ya high (AU low) half waves tu
Yea mkuu nisaidie bc namna ya kui boost 12vdc iwe 40vdc mkuu ila sound ya transistor niweze kutumia kwenye umeme wa solar yan DC 12v
 
kwanini unataka ku boost wakati unaweza design ac-dc supply ya 40V moja kwa moja ?

sio idea nzuri kuwa na components nyingi ambazo zingereplesiwa na component moja
Kufanya hivo mkuu lengo langu nitumie sound ya transistor kwa matumizi ya betrii ya sola ya 12v mkuu ndiomaana nataka msaada tafadhal kama una huo uchawi tugawane bc mkuu
 
Yaan mpaka kuja huku google nimechek lakn kwa 70% haijakamilika michora yao mkuu
Yea ndiomaana imenilazimu kutumia ic kwa matumizi ya solar mkuu

Maana mi hua nasuka amplifier kulingana na matumizi ya mteja sasa wateja wameolaman sound ya transistor lakn kwa 12vdc haipigi mpaka 40v DC ndio iko poa ndiomaana natafta namna ya kuboost DC 12v kua 40vdc mkuu
a54fd57b8adae21aefa9f0ae3ad4d60b.jpeg
 
> Unatakiwa obey kanuni ya P=IV
> Pili sioni tija ya kutumia DC boosters ukizingatia power amplifier zahitaji current zaidi ili kuwa na nguvu zaidi ndio maana nikaorodhesha P=IV

>Tatu unapo boost voltage kutoka 12V kwenda 40V current itakuwa ndogo sana hivyo amplifier yako itakuwa na uwezo mdogo sana.

>Kama alivyoshauri mdau hapo juu ni bora utengeneze Power supply yako tafuta transformer unda bridge ckt utapata hizo 40V unazotaka.
 
chukua sakiti ya kwanza hapo juu ambayo inatumia 555 timer

IC yake (LM 555) zipo kkoo maduka ya electronics

kwenye sakiti badili R1 (au C1 ) kupata voltage uitakayo

sjajua current rating yake ipoje ila unawezaiongeza kwa kusuka iyo inductor 100uH kwa mkono (unatumia thick enameled copper wires + ferrite rod)
 
OK mkuu nimekuelewa kwahyo ni bora nikipata mteja anaetaka amplifier afu matumizi yake ni ya v12 nitumie ic mfano tda7297 au tda 7379 nk

Ila anae taka power amplifier ya transistor hio naelewe hainipi shida mkuu
 
Ukiangalia datasheet ya hizo IC range za voltage ni hizo.
tda7297 ((6V -18V DC )
tda 7379 ( 8 to 20V DC )
 
chukua sakiti ya kwanza hapo juu ambayo inatumia 555 timer

IC yake (LM 555) zipo kkoo maduka ya electronics

kwenye sakiti badili R1 (au C1 ) kupata voltage uitakayo

sjajua current rating yake ipoje ila unawezaiongeza kwa kusuka iyo inductor 100uH kwa mkono (unatumia thick enameled copper wires + ferrite rod)
Asante sana mkuu ngoja niijaribuu
 
Back
Top Bottom