Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
145
Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia.

Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom