Sitaki kubebwa, nataka KakaJ ajue nna mahasira ya kuua mtu na pia aprove kuwa sina miguu mibovu.PHP:KakaJ ntake radhi la sivyo naandamana kwa miguu from Ar to huko uliko, nkifika ndo utajua kama miguu yangu ni mibovu au la!
Ikifikia huko itabidi nikubebe ili usichoke............................hadi umfikie..............................
Sitaki kubebwa, nataka KakaJ ajue nna mahasira ya kuua mtu na pia aprove kuwa sina miguu mibovu.
[B][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: usafiri wa mwanamke.......kipimo cha uzuri wake? [/B][PHP]
[IMG]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=28762&d=1304166425&thumb=1[/IMG][INDENT] . [/INDENT]
Hahahahaha! Kumbe unanipenda hivyo??? Siandamani tena mwaya!PHP:Sitaki kubebwa, nataka KakaJ ajue nna mahasira ya kuua mtu na pia aprove kuwa sina miguu mibovu.
Siwezi kukuruhusu ukaniachia "mada kesi" halafu tukakukosa humu jamvini..........ngoja niharakishe kwenda kununua mbeleko za nguvu nikubebe bila kukudondosha....................
The finest usitunyime tafsiri yako kwenye hizi picha ulizozitundika............................zinatoa ujumbe gani?
PHP:[B][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: usafiri wa mwanamke.......kipimo cha uzuri wake? [/B][PHP] [IMG]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=28762&d=1304166425&thumb=1[/IMG][INDENT] . [/INDENT][/QUOTE] Hahahaha Ruta I reserve my comments
Hahahahaha! Kumbe unanipenda hivyo??? Siandamani tena mwaya!
PHP:Hahahahaha! Kumbe unanipenda hivyo??? Siandamani tena mwaya!
lazima uandamane tu maana sasa hizi mbeleko nimezinunua kwa bei mbaya zitafanya kazi ipi????????????
Hahahaha Ruta I reserve my comments
I'm back Kaniambia inaitwa mlango wa nane na ni mwanamke mwembamba alafu mfupi ukiwa nae anamikosi.
sijui ndio hicho unachoongelea au is a new thing.
Najua nitashambuliwa na warembo wa JF. karibuni
hahahaha. Natafuta traki suti na raba naanza maandamano! ....l o.l
Niko maeneo ya USA mwenzio, nna hasira?? Afu hata cjui naelekea wapi manake cjui KakaJ anapatikana pande zipi. Unajua alipo Ruta???PHP:hahahaha. Natafuta traki suti na raba naanza maandamano! ....l o.l
I am on my way tukutanie wapi tuanze huu msafara.....................................
Niko maeneo ya USA mwenzio, nna hasira?? Afu hata cjui naelekea wapi manake cjui KakaJ anapatikana pande zipi. Unajua alipo Ruta???
Niko maeneo ya USA mwenzio, nna hasira?? Afu hata cjui naelekea wapi manake cjui KakaJ anapatikana pande zipi. Unajua alipo Ruta???
KakaJ ntake radhi la sivyo naandamana kwa miguu from Ar to huko uliko, nkifika ndo utajua kama miguu yangu ni mibovu au la!