Uzuri wa mwanamke ni tabia sio bikra wala sura.

Uzuri wa mwanamke ni tabia sio bikra wala sura.

maana ya TABIA katika huu msemo Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia.
Maana yake utu wake wa ndani moyo wake mwema ambao unadhihirika katika matendo yake ya nje ya upendo,huruma,matendo yote mema ya kupendeza MUNGU na wanadamu.

TABIA HAIHUSISHI hali ya kiafya kama udhaifu wa afya ugonjwa na changamoto nyingine za kiafya na kimaumbile.
 
Imagine,unaoa binti bikra, lakini kikojozi.
Kula chuma hicho maamaee

Screenshot_20260113_001846_Facebook.jpg


adriz de mbusii
 
Wacha kutupanga hivyo ni vitu viwili tofauti, mwanamke anaweza kuwa na uzuri wa sura lakini tabia mbaya, Sasa huwezi kusema ni mbaya kwa sababu tabia zake mbaya, kwa sababu ya uzuri wake tutasema ni mzuri au pisi Kali.
Pia anaweza kuwa na sura mbaya lakini tabia njema, tutasema Ana tabia njema, kwa hiyo tabia na sura ni vitu viwili tofauti.
 
Mwezi april itakuwa single maza mwi-mwa 😅
Mule mule itakuwa ni single mama usioe,single mama hivi,single mama vile blah blah kibao😎😎😎😎 halafu unakuta hayo ma single mama yanajiweza kuliko mwanzisha thread!!
 
Imagine,unaoa binti bikra, lakini kikojozi.
imagine unaoa na unaishi na kiatu kinakutosha siku zote ghafla unashangaa kinapwaya, kila ukikivaa na baada ya muda flan unanshangaa kina pwaya tena, ukiwa unaendelea kukivaa gjafla miguu ina fangasi, UTI sugu

mweeeeee
 
Mule mule itakuwa ni single mama usioe,single mama hivi,single mama vile blah blah kibao😎😎😎😎 halafu unakuta hayo ma single mama yanajiweza kuliko mwanzisha thread!!
Watatukuta tuko veree😂 kumbi zinajaa kila jmos wanawaoa sana, wakiudhiana huko na washenzi wenzao wanakuja kujaza server za jf🤣
64B6F699-D656-4212-9A40-E6865624AB2D.jpeg
Usioe singo maza watakulazimisha uwasomeshee watoto😩 mi mwanamke asiye na bikra sioi🤣💔
 
Tukubaliane kutokukubaliana, kila mtu aishi maish yake..
Anaeon bikra ndio kila kiti na aoe, akifanikiwa fresh, na likimkuta jambo asitupigie kelele.
Ambae ana sema bikra sio tabia kama mimi na aoe, akifanikiwa fresh, likimkuta asitupigie kelele.
 
Back
Top Bottom