Uzuri wa gari ni bodi

Tumekusikia ngoja nianze kufanya mazoezi nipunguze huu ubonge wangu kama asha boko
wewe thi umeolewa?πŸ˜‰πŸ˜‰ au na sisi tuunge tela tu?kwa kumvutia nan?πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
wewe thi umeolewa?πŸ˜‰πŸ˜‰ au na sisi tuunge tela tu?kwa kumvutia nan?πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Kumvutia shemeji...
 
Gari ni mafuta jamaniiiiii! Ukipata gari la petrol halafu linabugia utajuta kuzaliwa, yaani utatamani urudi kwenye baiskeli mkweche! Fuel consumption ni muhimu kwa Gari ndo maana watu wengi wanaprefer IST kuliko V8 hasa kipindi hiki cha mkazo wa vyuma.
 
Kweli bilabila
 
Ila mara nyingi zile gari (lori) zenye kibini mbovu ,huwaga na bonge la tank huko nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…