Uzuri/urembo/utanashati. Vs Jamii

Ruta nimependa hapo kwenye nyekundu tu!
 
hahaha,usijali mwaya. wajua tena gurudumu la maendeleo grisi ya kichina,unasukuma na nguvu mara mbili yake. uko sawa eeh?:typing:

Bora nimekuona!Inaonekana ulikua bize!Karibu!
 

Watu wanadharau vitenge lakini vinalipa ile mbaya lol.Ndio maana mama zetu waliwekeza humo!

Hili suala la vitenge hili wewe ni third person na pata direct testimony..... I believe it

is something inatakiwa iwe seriously considered by most hasa wanaotafuta kazi...

...

Siyo wengi wanalijua hilo hadi waambiwe. Natumaini somo litakuwa limeeleweka. Serikali imehangaika weee kutafuta vazi la taifa.Ila mwisho wa siku Kitenge kinalipa. Shona upendavyo mradi kiwe "kiheshima" zaidi na siyo capri pants au backless utinge nacho kwenye interview!


 


ha ha ha.... Ruta naona hii post umefanya kuhalalisha tu...lol... ambae

ananyanyapaliwa afanye the above eeeh?? Naona basi wewe unauza saana.
 
beauty and brains dont see eye to eye, i thought it was natural,lol
very strange unakuta siku hizi watoto wadogo wanasema eti hampendi mtu aliyeko hivi au vile,tena mbele ya wazazi wao! uko sahihi AshaDii, kumfanya mtoto awe aware with her looks kunamfanya anasahau hata inner beauty. iwhen i was growing up i never though of myself as ulgy or beautiful hadi vivulana vikiniambia kitu navishangaa. nadhani pia inajenga confidence ya ndani. u ar more than what u look. unahitaji ku-prove a point na ku-command authority hata kama hujavaa vizuri. japokuwa jamani kuna vaa nyingine, mtu aningia ofcn kwako unaangalia location kwanza ya ki-simu cha tochi chako. some ladies dress up like hookers ( i am seating across one in a public place,hehehe)

 

Nakubaliana na wee hili suala laweza pititwa kama vazi la taifa.... Kama alivyo fanya Mobutu enzi zake....


Hapo kwenye bold Ashadii...nadhani umesema kitu kizuri sana. Wazazi nao wanachangi kwa ubwetekaji huu ? na Je wazazi wanapomsifia mtoto wao waliomzaa wanatarajia nini?
!

Hapo mimi naona ni wazazi na jamii... ila kweli kabisa wazazi kusifia uzuri wa
mtoto (physically) tena kwa mtoto mwenyewe yaani huo ni upuuzi IMO.
Ni sawa na ile ya kusifia mtoto mmoja ana traits stronger than the other
mbele yao.... yaanai ina mdiscourage mmoja na pia kujenga uhusiano mbaya dhidi ya kids...


Hapo kwenye bold , hebu nipe somo maana wengine kiswahili ni lugha ya tatu au ya nne... utanashati ni sawa na urembo? Najua mkaka hawezi kuwa mrembo lakini nilidhani msichana anaweza kuwa mrembo na mtanashati. Nijuze mwaya.
!

Hapa kuhusu utanashati naona umenikamata!!! lol... However, nielewavo mimi ni kua Ndio binti aweza itwa mtanashati... but at the end binti yeyote mtanashati mara nyingi saana hua ni mrembo ingawa nao urembo wapishana... i.e Michelle Obama Vs Beyonce.... Michelle as much as ni mrembo waweza sema mtanashati pia, but beyonce is way over utanashati.... ni mrembo.... (sina hakika lakin for hivo ndo naelewa...) Where as a guy anaejipenda ni mtanashati sio mrembo, hata ajipende vipi.... Ni kama vile Gay (ni me na ke) while Lesbian ni ke pekee...
 
unaweza usiwe mzuri ila usmart wako ukakutoa yaan kuna watu wanaibuka kazini kama wameto ka shimoni,mtu kama huyu hata kuorganise kazi zake ni ishu,usmart mzuri sna hata kikao cha harusi wanakimbilia kukupa uweka hazina hahahahahahaa!
 


Wifi nimependa saana maelezo yako it is so true, you will guess why most successful

women in the world business were not beautiful when growing up, ni wachache mno

ambao walikua wazuri utotoni... thou kwa maisha ya saizi badae na mahela hayo you

turn out to be beautiful.... which is not bad...lol...
 
unaweza usiwe mzuri ila usmart wako ukakutoa yaan kuna watu wanaibuka kazini kama wameto ka shimoni,mtu kama huyu hata kuorganise kazi zake ni ishu,usmart mzuri sna hata kikao cha harusi wanakimbilia kukupa uweka hazina hahahahahahaa!


Yaani Gaga wewee.... Ndio technique zakko nini?? lol wakati wa harusi??

Ila kweli mtu ambae yupo rough kwa mwili wake hata kazi na makazi pia....
 
hahaha,usijali mwaya. wajua tena gurudumu la maendeleo grisi ya kichina,unasukuma na nguvu mara mbili yake. uko sawa eeh?:typing:
Teh,teh,teh,teh.......Grisi ya kichinaaaa!
 
Du wewe Rejao, yaani sisi weusi , tena weusi tii kama mimi-mpaka nakaribia weusi wa deep blue, hatuwezi pata kazi benki?
Naweka picha ya GF wangu ambaye vile vile ni blue black-isnt she a beut at first impression?

Huyu binti.... genuinely speaking..... Dah!... Na hio naturality yake na kipara na

her general uniqueness ndio ilimtanya awe international model... But otherwise... mmmh!!

HII NDIO "COMMODIFICATION" ya binadamu! Inalipa lakini....
 



Du wewe Rejao, yaani sisi weusi , tena weusi tii kama mimi-mpaka nakaribia weusi wa deep blue, hatuwezi pata kazi benki?
Naweka picha ya GF wangu ambaye vile vile ni blue black-isnt she a beut at first impression?

WoS... inalipa in rare cases... huyu binti alikua na nyota yake tu... But the majority inawa COST!!

Amini usiamini.... just look at her properly alafu mplace mtaani TZ kwetu....

Asha,
Unanipeleka level nyingine kabisa ya kufikiria kuhusu maisha ya binadamu! Mungu ana makusudio na kila mtu kwa namna ya pekee kabisa. Huyu binti aliyekuwa mkimbizi akiishi maisha magumu aliweza kuinuliwa na kupewa maisha mengine tofauti kabisa. Si ajabu angekuwa anaishi maisha mazuri kwenye mazingira mazuri asinge stand out akaonwa miongoni mwa wengine!
 

Now that's the thing.... mtu kama an individual faith yake iko wapi??
anajithamini kiasi gani?? anajiamini kiasi gani?? Na fate yenyewe imemuandalia nini??
All this things ina count saana kwa wale ambao wanakuja onesha GREAT impacts
katika jamii at a national or international level.... Na mimi personally naamini saaaana
kua katika maisha nyota zimezidiana na kwamba wengine ni wasindiikizaji whereas
wengine kweli waliletwa waishi hata kama their lives are brief... and on that i add that
kama mmoja wa hao wanadamu nyoota yake hafifu na mwingine ni bora zaidi, janga
linapotaka kumkuta mwenye nyota kali linaishia kumdhuru mwenye nyota dhaifu....
kama vile yule alo dhuriwa alizaliwa kumprotect yule alopona....

Naona nimechanganya.... Sijui umenipata??

Adding on kwa huyo binti... she is an exceptional example... unbelievable....
 

AshaDii,
U R EXCITING ME! Unaonaje tuanzishe topic nyingine on this ili tusivuruge hii maana nayo ni kuntu!
Best, nakuomba uanzishe thread specific inayoakisi hapo kwenye bold...ili tujadili maana nami nina mengi on that.

I DARE YOU LOL!
 
Hivi u smart wa mtu una relation na u smart wa kazi zake kwa maana ya uchapakazi? Nilienda ofisi moja nikakuta jamaa ametandaza mafaili meza yooote mpaka pa kuandikia hamna; afu sasa kwenye meza ake kuna kibao kimeandikwa maneno ya kidhungu ambayo siyakumbuki exactly yalivyooandikwa (next time ntaenda na notebook niyacopy) ila yalikuwa yanafagilia kuwa watu effective hawapangi meza yaani ukiona mtu ana meza rough jua ni mchapa kazi. Maneno yalinifariji sana because I am one of them!
 
AshaDii,
U R EXCITING ME! Unaonaje tuanzishe topic nyingine on this ili tusivuruge hii maana nayo ni kuntu!
Best, nakuomba uanzishe thread specific inayoakisi hapo kwenye bold...ili tujadili maana nami nina mengi on that.

I DARE YOU LOL!


ha ha ha... I see it is your turn kutumia the line eeeh??

Ila kweli interesting subject... will have to write on it... then tujadili in detail hasa!!
And you saying una mengi... i am forever holding you on that for i neva forget...lol
 


Umeona sasa NK kwa hio experience the way inaonesha baadhi ya watu ni hypocrites na hutaka tu kujipaint kua they are good people na kua wanafuatilia mambo ya muhimu... sasa mtu wa namna hio unafikiri nyumbani hasa chumbani kukoje?? kama tu hapo ambapo macho ya watu yanapita kashindwa kabisa ku organise?? Tena mara nyingi kazi ya kufanya 10 mins yaweza chukua hata 30 mins sababu tu file au doc fulani iko misplaced.... Mimi hua sioni haibu naweza mwambia mbona mkuu hio quote tofauti na matendo....lol
 
ha ha ha... I see it is your turn kutumia the line eeeh??

Ila kweli interesting subject... will have to write on it... then tujadili in detail hasa!!
And you saying una mengi... i am forever holding you on that for i neva forget...lol


hahaha..mengine we'll take them up bilaterally my dear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…