Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,623
Duka lako liko wapi nije kukuungisha mama Samuya.Bro ukifanya biashara yoyote KATAA kutamka kuwa biashara yako ni ya msimu. Toka 2016 nilijiambia biashara yangu haina msimu na ninaona matokeo.
Duka lako liko wapi nije kukuungisha mama Samuya.Bro ukifanya biashara yoyote KATAA kutamka kuwa biashara yako ni ya msimu. Toka 2016 nilijiambia biashara yangu haina msimu na ninaona matokeo.
Cheza na calculator utaona mambo inavyokua.Wakinga ufanyaji wenu wa biashara unashangaza sana. Nyie mnaweza hata kushindana na wachina.
Hela zako zinanuka.Duka lako liko wapi nije kukuungisha mama Samuya.
Mkinga anaweka faida Tsh 300/= na anatajirikaCheza na calculator utaona mambo inavyokua.
Zinanuka nini?Hela zako zinanuka.
Sasa kama mzunguko mkubwa na stock kubwa mia 300 kwann isikutajirishe?Mkinga anaweka faida Tsh 300/= na anatajirika
Hii inahitaji mtaji mkubwaSasa kama mzunguko mkubwa na stock kubwa mia 300 kwann isikutajirishe?
Let’s say, nna piece 100000 za vijora nikaweka faida 300 kwa piece.
Napata 30M, nikitoa gharama za usafiri na ushuru 10M nabaki na 20M kwanini mtu asitajirike?
Mkinga anaangalia mzunguko.
Hapo kwa mwezi anashusha mzigo mara 4
Kwa mwezi anakunja 80M muda huo wewe umekomaa na faida kubwa zigo limekuchachia store huoni km unajipotezea muda mwenyewe??
Sasa kama mzunguko mkubwa na stock kubwa mia 300 kwann isikutajirishe?
Let’s say, nna piece 100000 za vijora nikaweka faida 300 kwa piece.
Napata 30M, nikitoa gharama za usafiri na ushuru 10M nabaki na 20M kwanini mtu asitajirike?
Mkinga anaangalia mzunguko.
Hapo kwa mwezi anashusha mzigo mara 4
Kwa mwezi anakunja 80M muda huo wewe umekomaa na faida kubwa zigo limekuchachia store huoni km unajipotezea muda mwenyewe??
kuna mamaangu mdogo namueleweshaga sana kwenye hili still haelewi asante nimescreenshot comment yako labda ataelewa.Sasa kama mzunguko mkubwa na stock kubwa mia 300 kwann isikutajirishe?
Let’s say, nna piece 100000 za vijora nikaweka faida 300 kwa piece.
Napata 30M, nikitoa gharama za usafiri na ushuru 10M nabaki na 20M kwanini mtu asitajirike?
Mkinga anaangalia mzunguko.
Hapo kwa mwezi anashusha mzigo mara 4
Kwa mwezi anakunja 80M muda huo wewe umekomaa na faida kubwa zigo limekuchachia store huoni km unajipotezea muda mwenyewe??
Kila biashara inahitaji technique ili kuipa faida na mzunguko.Hii inahitaji mtaji mkubwa
Wewe nna BAF kutoka MU tuheshimiane!! 😹😹😹Uko vizuri Mkinga, utafikiri Hesabu ulipata A
Natamani kujua zaidi kutoka kwako....
Kuna watu vitu vidogo wanashindwa kuvielewa kwenye suala zima la biashara.kuna mamaangu mdogo namueleweshaga sana kwenye hili still haelewi asante nimescreenshot comment yako labda ataelewa.
Kama ulichukua BAF uko vizuri kwenye Biashara... Big up...Wewe nna BAF kutoka MU tuheshimiane!! 😹😹😹
Mtoto wa SOBWewe nna BAF kutoka MU tuheshimiane!! 😹😹😹
Ni kweli lakiniUsafi
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha kutusingizia wakinga.
Wewe sema unataka faida kubwa km mlivyozoea kuiba hazina..!! [emoji81]
Hatariii sanaaa,Sasa kama mzunguko mkubwa na stock kubwa mia 300 kwann isikutajirishe?
Let’s say, nna piece 100000 za vijora nikaweka faida 300 kwa piece.
Napata 30M, nikitoa gharama za usafiri na ushuru 10M nabaki na 20M kwanini mtu asitajirike?
Mkinga anaangalia mzunguko.
Hapo kwa mwezi anashusha mzigo mara 4
Kwa mwezi anakunja 80M muda huo wewe umekomaa na faida kubwa zigo limekuchachia store huoni km unajipotezea muda mwenyewe??
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu jamanii ndo umfokee sasa.Wewe nna BAF kutoka MU tuheshimiane!! [emoji81][emoji81][emoji81]