Uzoefu wa Kukaribia Kifo

Uzoefu wa Kukaribia Kifo

Kwenye meditation hiyo ya matukio ya nyuma kupita kama filamu hua inatokea¡ kwa hiyo hapo umekuwa umekaribia kifo mkuu?
Ndio mkuu si unakaribia tu Lakini haufi pia Kuna meditation ya kufa ambayo ukiifanya unaongea na wapendwa wako waliokufa.
 
Ndio mkuu si unakaribia tu Lakini haufi pia Kuna meditation ya kufa ambayo ukiifanya unaongea na wapendwa wako waliokufa.
mkuu! Nadhani imekaa kiscience zaidi, yani nipozangu nimerelax siumwi, halafu unakaribia kufa?
 
hiyo tahajudi ni hatari sana nishawahi ifanya unaweza kuifanya ukafa mazima mtoa mada yupo sahih unachungulia kifo ukishaifanya kamwe hutoogopa chochote
Meditation ya kufa Ina faida zake.
 
Inafanyikaje?
unalala chali unatulia mwili wa nyama unakufa ganzi unaamka kama nafsi mwili unabaki pale chini unatembea unavyotaka unaweza kupita hata kwenye ukuta kama hujawah unaweza kupiga kelele
 
Mshana Jr, ndio mambo yake haya
 
Back
Top Bottom