Uzoefu wa Kukaribia Kifo

Uzoefu wa Kukaribia Kifo

There's no amount of learning that will make you enlightened!

Labda kama unataka kuikuza ego?

Sizungumzii habari za enlightment( hii haina formula maalum ya kuifikia)
Kuna vingi sana vya kujifunza ktk huu ulimwengu.
 
Sizungumzii habari za enlightment( hii haina formula maalum ya kuifikia)
Kuna vingi sana vya kujifunza ktk huu ulimwengu.
Katika angle kawaida sawa na kuelewa mkuu. Hata mm nasoma na kujifunza kila waking day
 
Karibu mkuu tunasubiri ushuhuda.
Mwaka 2009 tlikuwa kuna sehemu tunashuka mizigo kutoka kwenye tandamu (Fuso ndefu zile) ..Sasa bhana , niliporomoka kule juu kwa vile nilikuwa natoa tu mizigo wa chini wanapokea , yaani nilivuta kiroba kwa nguvu kumbe hamna kitu ndani so nikajipusha kurudi nyuma , nikapiga kisogo , kutoka juu kabisa kule ya bodi ya tandam.

Kumbe nilizima , sasa bhana baada ya kuanguka naona jamaa wamenizunguka kabisa ,mimi nawaona kabisa ila siwasikii wanaongea nn , nikitaka kumka viungo havifanyi kazi ,baadaye kidogo fikra zikaanza kujirudi kama mtu ninayerudi nyumbani , kwetu tunapoishi ilikuwa nyuma tu sio mbali na hapo , yaani mawazo yananionesha narudi ile njia niliyokujia mpaka nafika home , kama namuona mzee yuko home anasoma gazeti na mother anapika , yaani nawaona kabisa na mwili uko huku eneo la tukio . Nilijiwa na kumbukumbu za udogoni kabisa nacheza na jamaa zangu , muda huyo tulikuwa ni wakubwa .

Nilikuja kuzinduka kama nusu saa hivi , ila nilikuwa natokwa na machozi .jamaa wakaniambia nilikuwa nimezima ...Hayo mambo mengine sikuona , ila mazingira nilikuwa naona mwanga mkali .
 
Back
Top Bottom