fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
nomaaaaah sana
Ng'ombe hazeeki maini mkuu. Mbona last seen yako inaonesha upo active.Ha haa mi nimestaafu hayo makitu hayanisisimui
Hii imenikuta mzee baba kumbe ni UTI asee... Ujinga sana showTena kama umeenda dry mawazo ya ngoma yanakujaa
Ah wapi.Ng'ombe hazeeki maini mkuu. Mbona last seen yako inaonesha upo active.
Mleta mada ndiye ananitia wasiwasi zaidi kwa mda huu, huenda kuna kitu kafanya akaanza kujilaumu alipokihitimishaHii mada kila mtu naona anataka kujifanya mtakatifu sana wakati wengine mnapost mkiwa gesti
Mbona hasiraaa !![emoji23] [emoji135]Ngoja Wazinzi waje watuambie, kwanini mara huku mara kule...Washenzi sana Wazinzi, Shubaaamit[emoji23]
Aii mhhuu ni ka kweli vile!!Hii mada kila mtu naona anataka kujifanya mtakatifu sana wakati wengine mnapost mkiwa gesti
.Kichwa cha chini kina nguvu kuliko Kichwa cha juu...
Kinaweza kukuendesha mpaka ukajiona mjinga baada ya kutimiza hitaji lako
Hii mada kila mtu naona anataka kujifanya mtakatifu sana wakati wengine mnapost mkiwa gesti
Hahaha kweli!Hii mada kila mtu naona anataka kujifanya mtakatifu sana wakati wengine mnapost mkiwa gesti
Mbona unajitoa?wazinzi wame mute wanatamani huu uzi ufutwe
Jaribu tuone!!Ah wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada ndiye ananitia wasiwasi zaidi kwa mda huu, huenda kuna kitu kafanya akaanza kujilaumu alipokihitimisha
mimi sio mzinz na kila nikikojoa uwa sijutii bali nafurahia,,[emoji5]Mbona unajitoa?
Hata hamu sinaJaribu tuone!!
Good Boymimi sio mzinz na kila nikikojoa uwa sijutii bali nafurahia,,[emoji5]