Omugisha
Member
- Aug 11, 2018
- 43
- 29
😃😃😃Hii mada kila mtu naona anataka kujifanya mtakatifu sana wakati wengine mnapost mkiwa gesti
😃😃😃Hii mada kila mtu naona anataka kujifanya mtakatifu sana wakati wengine mnapost mkiwa gesti
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii mada kila mtu naona anataka kujifanya mtakatifu sana wakati wengine mnapost mkiwa gesti
Utajuwa Je kama hamu haimo bila kujaribu?Hata hamu sina
Ni uteja kama wa mihadarati n.k.Binadamu haturidhiki na kitu kimoja. Na tunapenda sana kubadili badili aina kadhaa… wakati mwingine utokako ni kuzuri kabisa kuliko huko uendako.
Cha ajabu unafanya kule , unafanya huku. Na immediately sana ukishamaliza unaanza kujilaumu sana na kuona wa kawaida sana. Hana jipya.
Kwanini huwa tunaona wanini baada tu ya kukojoa ? Nini siri yake ?
Naamini wachangiaji watakuwa wa kutosha…
NiacheeeeeUtajuwa Je kama hamu haimo bila kujaribu?
[emoji120] [emoji40]Niacheeeee
Hapo mkuu ndoo utajua unafiki Wa mtanzania. Hahahahaaaa umenikumbusha wiki juz nilkuwa dar maeneo ya hongera bar Luna gesti moja hivi nililala . ile asubuhi natoka naona gari ya shirika flani hivi . wakashuka wote wafanyakazi wahilo shirika mmama na mkaka wakaingia kuvunja amri ya sita. Niliwaza sana kumbe wake zawatu wanaliwa sana maskini wakiaga kuwa wanaenda kazini.Hii mada kila mtu naona anataka kujifanya mtakatifu sana wakati wengine mnapost mkiwa gesti