Uzinzi ni dhambi ya mauti...

Uzinzi ni dhambi ya mauti...

Uko sawa lakini kwenye hiyo "dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu" umetupiga!
...ni kweli, uzinzi ni dhambi na chukizo kubwa sana kwa Mungu lakini haijatajwa kuwa ni dhambi mojawapo y kumkufuru Roho Mtakatibu sababu inasameheka kupitia Maungamo kwa Padre ila Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu mfano Dhambi za Kuua au Kudharau na Kukashifu Ekaristi Takatifu Hazisameheki. All in All Hii Dhambi ya Uzinzi inatukosesaha Mema Mengi Kutoka kwa Mungu.
 
No thank you

Kwani huyo jini mahaba Ana chagua umri
Hapana,haina uhusiano na umri,kitu cha kufahamu ni muendelezo wa kile kinakutokea kwenye ndoto,ndoto nyevu kisayansi inahesabiwa kama hatua ya kukua kwa kijana wa kiume ambayo kihalisia unaweza kuota umeamka sperms zimetoka ni sawa na binti kuanza kuona siku zake mara ya kwanza.
Kwa mwanamme should not re-occur.
Jini mahaba ni story tofauti ukisikia shuhuda,mpaka sura ukimzoea unaweza kupiga naye mpaka story mkuu.Lakini ukiota ndoto hiyo pia inaweza kuwa ni sign fulani kwako,inapojirudia inahama inakuwa kitu kingine Cha kuchukua hatua.
 
Tutapona katika jina la Yesu.

Hakuna neno linaloshindikana kwa Mungu-Luka 1:37.
Yesu alisema "jicho lako likikupeleka kubaya lin'goe, je umefuta ushauri wa Yesu?

Utapona ikiwa umefuata maelekezo ya Mshauri wa Ajabu, kinyume na hapo huponi mkulugwa 😂
 
...ni kweli, uzinzi ni dhambi na chukizo kubwa sana kwa Mungu lakini haijatajwa kuwa ni dhambi mojawapo y kumkufuru Roho Mtakatibu sababu inasameheka kupitia Maungamo kwa Padre ila Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu mfano Dhambi za Kuua au Kudharau na Kukashifu Ekaristi Takatifu Hazisameheki. All in All Hii Dhambi ya Uzinzi inatukosesaha Mema Mengi Kutoka kwa Mungu.
Nafikiri kuna haja ya kuzungumzia dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu,hapa.
 
Hapana,haina uhusiano na umri,kitu cha kufahamu ni muendelezo wa kile kinakutokea kwenye ndoto,ndoto nyevu kisayansi inahesabiwa kama hatua ya kukua kwa kijana wa kiume ambayo kihalisia unaweza kuota umeamka sperms zimetoka ni sawa na binti kuanza kuona siku zake mara ya kwanza.
Kwa mwanamme should not re-occur.
Jini mahaba ni story tofauti ukisikia shuhuda,mpaka sura ukimzoea unaweza kupiga naye mpaka story mkuu.Lakini ukiota ndoto hiyo pia inaweza kuwa ni sign fulani kwako,inapojirudia inahama inakuwa kitu kingine Cha kuchukua hatua.
Kama jini naweza hata kuongea naye na nimzuri .... kwani we jamaa kama unapata utelezi wa bure bila usumbufu unataka nini tena mkuu .... kwenye haya maisha niunganishe na huyo jini ... mademu wakibongo wamesha nichosha kila siki virungu
 
Acha mizaha mkuu, ni dhambi pia (Zaburi 1:1-3).
 
Hii ni ili wazazi wajitume zaidi katika kuhakikisha watoto wao wa kike wanakuwa sio breki pumbuz.
Its a virtue being virtuous and should be dully rewarded!
watajitunza lakin vijana tutashindwa kumudu hio 10mil mwisho wake mabinti watajiachia ili waolewe kirahis
 
Hata mimi huu mstari huwa unanifikirisha sana mkuu.

Labda mkuu howardlite atusaidie..
Dhambi ya uzinzi ina hatua,lazima uone,utamani,ufanye.
Biblia inaposema kutamani ni hatua ya pili umeona,umepeleka kwenye brain,umeprocess muonekano wake umeona oh yaah ukahisi kuvutiwa naye kimahaba(kuwaka tamaa) unajiuliza nikiwa nae duh itakuwa......nk ndio kinachozungumziwa hapo unakuwa umeshamvua nguo yuko uchi na wewe uko uchi na mmemaliza kila kitu.
Lakini unaweza kumuona mwanamke ukaona yes Mungu ameumba vitu vizuri ukamtukuza Mungu 😀😀 kwa uumbaji bila kuruhusu ufahamu wako kwenda hatua ya kuanza kuwaza vibaya.
Huwezi kuzuia kuona lakini unaweza kuzuia uziwaze vibaya,ndege anaweza kupita juu ya kichwa chako lakini kutua ni mpaka umruhusu wewe.
 
Back
Top Bottom