Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Very interesting topic
😂 So sitakiwi ku type au..?Kenzy is typing 😂
Jina tu unamind kinyama tafikiri huyo yesu ulishawahi kumuona hata!..😂Acha kunywa kimpumu bwashee, wenzio hunywa mtori wa moto ndio maana hawakosei kuandika majina ya kwenye Biblia
Mungu anasamehe immediately!Zambi zote ni sawa,
Ukiomba msamaha kwa kumaanisha husameheka mbele za Mungu.,
Mimi baharia mstaafu nakujuza uzinzi hufubaza akili, unawaza na kutenda chini ya kiwango, huondoa baraka kwa kukufanya mtapanyaji na kubwa jinga, kiroho unakosa dira na kijamii unadharaulika na kupoteza mvuto kiuchumi unapoteza focus, unawaza kustarehe zaidi na kuburudika kuliko kuwekeza maisha mwisho utazeeka maskini wa kutupwa na kuchekwa, kimbia zinaa


factUmedadavua vizuri sana mkuu. Nakushukuru sana tena sana.Dhambi ya uzinzi ina hatua,lazima uone,utamani,ufanye.
Biblia inaposema kutamani ni hatua ya pili umeona,umepeleka kwenye brain,umeprocess muonekano wake umeona oh yaah ukahisi kuvutiwa naye kimahaba(kuwaka tamaa) unajiuliza nikiwa nae duh itakuwa......nk ndio kinachozungumziwa hapo unakuwa umeshamvua nguo yuko uchi na wewe uko uchi na mmemaliza kila kitu.
Lakini unaweza kumuona mwanamke ukaona yes Mungu ameumba vitu vizuri ukamtukuza Mungukwa uumbaji bila kuruhusu ufahamu wako kwenda hatua ya kuanza kuwaza vibaya.
Huwezi kuzuia kuona lakini unaweza kuzuia uziwaze vibaya,ndege anaweza kupita juu ya kichwa chako lakini kutua ni mpaka umruhusu wewe.
Sikutishi mkuu, nimekwambia ukweliWe kama umeupata UKIMWI pambana na kuhudhuria CTC tusitishane mzee wangu samahani sana.


Kama ulikuwa hujui, mstari mmoja wa Biblia unaweza ukawa na tafsiri zaidi ya moja kulingana na vile Roho Mtakatifu anavokuvuvia kutafsiri mstari huo.Kasome Biblia vizuri.
Bado hujajua maana ya kumkufuru Roho Mtakatifu.
Ogopa sana kupunguza au kuongeza neno katika Neno la Mungu. Ni heri ufundishe kile ambacho una hakika nacho kwa 100%.
Neno la Mungu si masomo ya upatu kwamba kila mkufunzi anaweza kuja na gear yake
Na kamwe Biblia haina direct meaning. Soma 1Wakorinto 14:26.Sema hiyo ni revelation yako
Sio direct meaning!
Mi Huwa sipo hi mafunuo Cha mhim RM awe amehusika!
Nini maana ya kukufuru?ni kweli, hiyo mifano nimewahi kumsikia mmoja wa mhubiri akiitoa ila inaponichanganya nimekutana na kipengere katika chapishi hili
mwandishi anasema : -![]()
UFAHAMU KUHUSU DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU | PROSHABO
VIPENGELE VYA SOMO(1). NI MAANA YA KUKUFURU?(2). DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU IKOJEE?(3). DHAMBI YA KUMKUFURU MUNGU ILIFANYWA NA SHETANI NA MALAIKA ZAKE WALIOASIUTANGULIZIKumkufuru Roho mtakatifu ni dhambi nyingine mbaya sana tena kubwa zaidi ambayo haina msamaha milele na milele.Na ole...proshabo.com
Dhambi ya kumkufuru Roho haiwezi kufanywa na watu ambao bado hawajaokoka.
Wala Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu haiwezi kufanywa na mkristo yoyote tu wa kawaida ambaye hajainuliwa na Mungu katika ngazi yoyote ya utumishi katika huduma iliyowekwa na Mungu ndani yake.
Unavyosema ulifanya sana ndo ukaokoka, basi na wengine watasema acha tufanye then tutaokoka.


Karibu mkuu.Asante kwa ushauri boss
Mungu akuhurumie sana.Mtoa lost unafeli wapi. Yaan niache kukamua papuchi kisa dhambi. Hata ukioa lazima uzini na mkeo ndo mzae. Hata wewe hapo ni matokeo ya kuzini