Uzinzi ni dhambi ya mauti...

Uzinzi ni dhambi ya mauti...

Mkuu, kwanza nikushukuru sana kwa mchango wako mzuri. Kabla sijakufata PM na kwa faida ya wengine pia, naomba uziweke hapa njia za kuniwezesha kushinda. Tafadhali sana...
i
vizuri tuelewe hakuna njia za kibinadamu zinaweza kumsaidia mtu ku-stain asizini,itakuwa ni kwa muda tu anaweza kujizuia sometimes somewhere atajikuta amezini tena.So hizi ni spiritual merchanisms as per the Bible na nyingine ni Yesu mwenyewe amesema:
Ni vizuri tuelewe hakuna njia za kibinadamu zinaweza kumsaidia mtu ku-stain asizini, itakuwa ni kwa muda tu anaweza kujizuia, lakini sometimes somewhere atajikuta amezini tena na tena.
So these are Biblical and spiritual merchanisms na nyingine Yesu mwenyewe amesema:
1. Kubali kuwa totally transformed or renewed (spiritual, your soul that is your mind and emotionally,and your flesh).
Waefeso 4:23-24 Na mfanywe wapya katika roho ya nia zenu; 24.Mkavae utu mpya,ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.
2. Neno la Mungu likae kwa wingi ndani yako.
Zaburi 119:11 Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,nisije nikakutenda dhambi.
- Yesu alimshinda shetani kwa neno alipokuwa duniani. Mathayo 4:7 Yesu akamwambia,tena imeandikwa.....
3. Litii neno la Mungu kwa kuishi sawa na neno lake linavyosema.
Zaburi 119:9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?Kwa kutii,akilifuata neno lako.
4. Kubali kuongozwa na Roho wa Mungu,kama hujajazwa Roho Mtakatifu muombe Mungu akupe hicho kipawa.Ni vigumu sana kushinda tamaa za mwili bila nguvu ya Mungu ndani yako through his Holy spirit.
Wagalatia 5:16 Basi nasema,Enendeni kwa Roho,wala hamtazitimiza KAMWE tamaa za mwili.
17. Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho,na Roho kushindana na mwili,kwa maana hizi zimepingana hata hamwezi kufanya mnayotaka.
Ukisoma miatari inayofuatia yametajwa matendo ya mwili ikiwepo uzinzi.
5. Usimpe Ibilisi nafasi,kihalisia shetani hana nguvu juu yetu ni mpaka tumempa nafasi hata kama ni ndogo kiasi gani ataleta madhara. Waefeso 4:27
6. Be prayerful
Marko 14:28, Mathayo 26:41 Kesheni muombe msije mkaingia majaribuni,roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.
1 Wathesalonike 5:17 Ombeni bila kukoma.
Luka 22:40,46 Alipofika mahali pale aliwaambia,Ombeni kwamba msiingie majaribuni.
- Kama Yesu alifunga,akakesha akiomba, akiwa duniani.Sisi ni nani tusifanye hivyo?
7. Usiifuatishe namna ya dunia hii kama maandiko yanavyotuonya,wala msiifuatishe namna ya dunia hii.Ishi maisha matakatifu,
Biblia inasema watakatifu walioko duniani ndio waliobora ndio ninaopendezwa nao,kumbe duniani wapo watakatifu na inawezekana kuishi maisha matakatifu as per God himself, there is inability Divine power to make it through,and by His tender mercy He makes happening.What is impossible to us for Him is possible.
 
Swali:
Sisi ambao hatujichukulii sheria mkononi(nyeto) wala hatuhangaiki na mademu lakini usiku tukilala tunaota tuna nyanduana hadi unapiga bao la ukweli ukiamka umejichafua nasisi mnatuweka kwenye kundi lipi?
 
Mkuu umenibariki sana. Naomba Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi ili ukawe msaada kwa Taifa lake takatifu.

Nimejifunza kitu kikubwa sana ingawa umeandika kwa uchache. Ubarikiwe mpaka ushangae.
 
kabisa na hilo linaeleweka ila pale unapo onyesha jitihada za makusudi kuushinda uzinzi basi utakuwa kwenye njia salama kabisa. endelea hivyo hivyo.
Hivi huyu ni wew au umeshikiwa simu😂
 
Neno kuu kwny uzi wako ni uzinzi na umelirudia mara kibao na haujui maana yake,umejaa hofu kwa kujihesabia dhambi usiyokua nayo
 
Swali:
Sisi ambao hatujichukulii sheria mkononi(nyeto) wala hatuhangaiki na mademu lakini usiku tukilala tunaota tuna nyanduana hadi unapiga bao la ukweli ukiamka umejichafua nasisi mnatuweka kwenye kundi lipi?
Kufanya mapenzi usingizini ni pepo la uzinzi, ukijikuta kwenye mazingira haya ujue unafanya mapenzi na pepo/mapepo, unapaswa kukemea.
 
Wewe unayeijua maana yake utusaidie sisi tusiyoijua, lengo ni kujengana na siyo kushindana.
 
Kufanya mapenzi usingizini ni pepo la uzinzi, ukijikuta kwenye mazingira haya ujue unafanya mapenzi na pepo/mapepo, unapaswa kukemea.
We jamaa una feli sana ....kuna mwana tulisoma naye chuo alikuwa domo zege ukihadithia ulilala ukamwota una sex na demu ... anakwambia mwanangu hizo ndoto mbona sizipati mimi? Yani Ana maindi kabisa 😂😂😂...anatamani yeye ndo angeota ivo kwa ugumu aliyo nao
 
Yesu alisema "kila amtazamaye mwanamke na kumtamani moyoni mwake amekwisha zini naye"

Haya tuambie wanaume wote tutakufa kwa dhambi ya uzinzi?
 
We jamaa una feli sana ....kuna mwana tulisoma naye chuo alikuwa domo zege ukihadithia ulilala ukamwota una sex na demu ... anakwambia mwanangu hizo ndoto mbona sizipati mimi? Yani Ana maindi kabisa ...anatamani yeye ndo angeota ivo kwa ugumu aliyo nao
Mkuu, huyo jamaa alikuwa anakosea sana, trust me.
 
Swali:
Sisi ambao hatujichukulii sheria mkononi(nyeto) wala hatuhangaiki na mademu lakini usiku tukilala tunaota tuna nyanduana hadi unapiga bao la ukweli ukiamka umejichafua nasisi mnatuweka kwenye kundi lipi?
Mkuu hiyo ni ishara kuwa una mke katika ulimwengu wa roho aka jini mahaba.Take action kwa kutafuta msaada wa Kimungu.
 
Attachments

  • Screenshot_20220721-133629_Twitter.jpg
    Screenshot_20220721-133629_Twitter.jpg
    57.6 KB · Views: 13
Back
Top Bottom