President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.
Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na apewe adhabu kali.
Tukifanikiwa kutunga sheria hii, tutaweza kupunguza mimba za utotoni kwa kiasi kikubwa.
Wanasheria tusaidieni jinsi ya kuandaa mswada wa sheria hii, tuufikishe bungeni. Hata kama tumechelewa, tutaokoa wengi.
Actus reus + Mens rea =CRIME. Subirini nifikishe angalau miaka 70 ndio mlete muswada wenu.
Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.
Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na apewe adhabu kali.
Tukifanikiwa kutunga sheria hii, tutaweza kupunguza mimba za utotoni kwa kiasi kikubwa.

Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.

Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na apewe adhabu kali.

Tukifanikiwa kutunga sheria hii, tutaweza kupunguza mimba za utotoni kwa kiasi kikubwa.
Katika nchi ya CANADA uzinzi ni kosa la jinai lipasalo kifungo ,faini au kuvunjika kwa ndoa au vyote kwa pamoja. Nilikuwa na boss wangu wa huko alikuwa anaogopa ile mbaya na alikuwa anajilinda sana asiingie mtegoni.
Uzinzi ni nini?
Mkuu mbona sikuelewi heading yako haiendani kwamba c kosa uzinzi kivipi mtujuze

Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.

Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na apewe adhabu kali.

Tukifanikiwa kutunga sheria hii, tutaweza kupunguza mimba za utotoni kwa kiasi kikubwa.
Hivi mimba za utotoni zinatokana na uzinzi au uasherati? Jaribu kutofautisha uzinzi na uasherati. Katika waraka mmojawapo wa Paulo, uasherati ni matendo ya mwili, sawasawa na uchawi, uchafu, ulafi, ufisadi, na ulevi. Wakati uzinzi utaukuta katika agano la kale ambapo imetajwa kama amri kuu.
Uzinzi = Zinaa, ni dhambi kwa mujibu wa vitabu vitakatifu vya dini za kiislam, kikristo, nk.
Ila kwa hapa nchini kwetu Tanzania, zinaa (uzinzi) si kosa kwa mujibu wa sheria, na hakuna kanuni za adhabu katika mahakama zetu.