Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

dua ya kiislam imeisha na imefuata maombi kwa upande wa wakristo yanayo ongozwa na mch. Asalom. startv wamekata matangazo gafla.
 
umekata umeme dah kweli tunakazi kuwangoa magamba
 
wengine tuko mbali na star tv , through internet/streaming vipi jamanii ???


mi mwenyewe niko mbali kweli(trinidad)japo nimewasialina na hao star tv ili kujua kama wanarusha au vipi....kwa sasa najitahidi nasi wa mbali tuweze faidi online.....subiri
 
wamerudi live tena. mch. anakemea " tunakaa kinyume na nguvu za rushwa, tunakaa kinyume na nguvu za uchawi, tunakaa kinyume na umwagaji wa damu wa aina yoyote. katika jina la yesu tunaomba na kushukuru wote tuseme amen".
 
Naona Tanesco wameagizwa wazime umeme maeneo ya ukonga dar. Baada ya dua ya shekh wa wilaya tanesco ccm wameshachukua umeme wao. Haisaidii sana hii kuwa ndo itasaidia kuendeleza kuwapumbaza watanzania kuipenda ccm. Online inaonyeshwa kesho magazeti yataonyesha na kuendelea kuzidisha hasira kwa wananchi. Hii ni styre ya kuendelea kuzika ccm kaburini. Hongera zenu
 
msiofu hapa mwanzo mwisho. Nitafanya kazi ya kutaarifu.
Amemaliza mwakilishi wa madhehebu ya dini ya kikristo.
Now mwenyekiti wa cdm ndo anaenda kuzungumza.
Samsoni mwigamba anazungumza sasa.
 
mpaka farasi wametumika katika kampeni hizi,helcopta inatamalaki katika anga la viwanja hivi.
 
Back
Top Bottom