crashwise mbona umeweka moja tu? ongeza nyingine mkuu
Yani hapa ndipo ninapokikubali Chama changu. Tukio linatokea wakati huo huo mnapata picha kwa waliombali. Ngoja muone Uzinduzi wa Magamba. Uzinduzi leo, Picha wiki Ijayo! Big up Crashwise
Wewe ni Dume la Mbegu za njiwa manga!Mbona watoto wengi humu? Huu ndio umati ? Kweli jimbo limekwenda ccm hili