Uzinduzi wa chadema katika picha

Yani hapa ndipo ninapokikubali Chama changu. Tukio linatokea wakati huo huo mnapata picha kwa waliombali. Ngoja muone Uzinduzi wa Magamba. Uzinduzi leo, Picha wiki Ijayo! Big up Crashwise
Inabidi zichanganywe za mwaka juzi na juzi na juzi na jana ndo watoe picha sasa
 
Hijabu na vibaraghashia havipo kabisa Arumeru.Magamba watakufa!

Udini hapana mkuu,tusiwaguse watu na imani zao!magamba tunawachapa kwa hoja tu,wao ndio wana propaganda zilizoshindwa za udini na ukabila
 
Asanteni kwa kuweka ukweli, hakika tumeanza na mungu na tutamaliza na mungu
 
Hawa Wananchi sio wakusombwa na Malori na kuja kutelekezwa baada ya mkutano kama wanavyofanya Magamba. hao wamekuja wenyewe hawakufuata pilau au mziki na wala hakuna malori yaliowasomba na kuwalazimisha kuacha kazi zao
 
nchii hii ina wanafiki wengi sana wewe mkuu ni mmojawapo
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
 
mbona ninaona vijana tu, na hakuna wazee?! au wazee walishindwa kupande maroli?
safari hii nani katoa maroli? je, ni dewji?
OH!!

SAMAHANI nilijua hao ni ccm, maana nilizoea miaka ile tukiwa shule tulilazimishwa kwenda kwenye mikutano yao na tunapoingia uwanjani [mfano uwanja wa Aman] jamaa wanafunga milango kwa gufuli mpaka waheshimiwa wamalize hotuba na kuondoka!!
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
Safari hii mnawaleta orijino komedi au komba atakuwepo peke yake? mleteni Michael Jackson..lakini bado mahudhurio no!!!!
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
Chadema haina utaratibu wa kubeba watu wala kuwa pikia chakula na wala huwa hatuna fiesta...ukiona watu hao ujue wamekuja kusikiliza sera siyo kuangalia ze komedi
 
Hapo kwenye picha naona watoto wadogo ni wengi kuliko watu wazima, hiyo ni ishara tosha kwamba jimbo ni mali ya CCM.

Kama mnabisha mtaona jumatatu jinsi watu watakavyofurika kwenye ufunguzi wa kampeni wa chama dume aka CCM. Chadema mnajisumbua kugombea kwani mnajua fika kwamba hamtashinda.
 
Back
Top Bottom