Uzinduzi wa chadema katika picha

Uzinduzi wa chadema katika picha

tutaona wakwenu mtakao wasomba kwa malori....

Mkuu ukiweza kupata picha ya hayo malori hiyo jtatu tupia humu!! no way out ccm hawawezi fanya mkutano bila kubeba watu hilo nimeliona ktk mikutano yao yote:bump2:
 
.....haifai mgombea ubunge kakaa kivulini na chupa ya Kilimanjaro wakati walala hoi na washinda kiu huku kwenye umati tuko juani hatuna jinsi zaidi ya vimaji vichafu kwenye viplasiti "maji ya kondom"...

...by the way, hivi CHADEMA hawawezi kupata supplier mmoja wa jersey zao, manake kila mmoja ana tone and version yake ya kahawia
 
Hijabu na vibaraghashia havipo kabisa Arumeru.Magamba watakufa!

Mdau unaboa sana na comment zako za udini,upo wewe na mwenzako Molemo.Hivi mbona hata pasipo na sababu ya kuongelea imani za watu nyie mnaongelea tu?Umekijua sasa ulichocomment hapo?maana yake ni kwamba CDM palipo na hijab na balaghashia haiwezi kushinda,kumbuka kuwa lengo la CDM ni kuingia Ikulu na hilo halitawezekana kamwe kwa propaganda zenu kama wavaa balaghashia wote watakuwa against CDM.Hebu uwe unatumia akili japo kidogo tu kwenye comments zako,haya mambo ya udini kwenye siasa yaliletwa na CCM tangu enzi za CUF sasa kama wewe ni mpinzani wa kweli hutakiwi kushabikia udini hata siku moja kama una akili timamu!!Binafsi sina chama lakini nitafurahi siku moja nikiiona CCM inakuwa chama cha upinzani!!Hebu elimika mdau tulikomboe taifa letu dhidi ya umasikini wa kudumu!!
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
Yani nepi huna ishu aibu wewe ndio haunayo kumbuka unampiga vita mamvi na unaenda mpigia debe mkwe wake. Unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
We jr unaambiwa urudi kwenu ukagombee tuone kama unauwezo huo mmezoea kushinda kwa kuchakachua mtachakachua na uraia Wa mkwe Wa mamvi safari hii umekamatwa pabaya tunasubiri kesho tuone.
 
Big up crashwise Mungu akujaalie.............hata huku Bukoba tumeona....sasa tunasubiri hiyo you tube
 
Nimemuona kamanda Lema, vipi wale wazee hawakumfanyia ile kitu? Au zilikua propaganda za Tendwa na Magamba yake!!!!!!
 
Mbona watoto wengi humu? Huu ndio umati ? Kweli jimbo limekwenda ccm h

Your observation leaves a lot to be desired.

Any political analyst would note what is so obvious: CCM has created seeds of its own destruction.

UMATI umejaa vijana, wapiga kura na taifa la sasa, wanaotaka mabadiliko.
 
Campaign managers CHADEMA, mnyang'anyeni babaake Nassari hiyo biblia hapo jukwaani, yeye haelewi political ramifications zake, nyinyi vipi nyinyi?

Chama kina doa baya la taswira ya Ukatoliki na Uchaga, you need to quash that alienating image, it does not resonate with the muslim vote, mnajua kura ngapi Dr. Slaa alizikosa for being billed as a Christian block candidate? Ondoeni hizo paraphernalia za Ukristo kwenye kampeni!
 
Zitto na mapozi yake!Huku anakong'otea mzee!lol!
Ila kama kuna kitu amesoma then youko sceptical?Kuna kitu kimeshangaza kwenye notes za Mwenyekiti?
attachment.php
 
Wajameni,mbona Mh.Mbowe anatumiasigara kalihadharani?

ACHA USHAMBA, HIYO SIGARA, HUO NI MFUNIKO WA KALAMU. Au hujui hata aina za kalamu? umeishia darasa la ngapi na kalamu ya mwisho kuitumia ni spido au biki.
 
Campaign managers CHADEMA, mnyang'anyeni babaake Nassari hiyo biblia hapo jukwaani, yeye haelewi political ramifications zake, nyinyi vipi nyinyi?

Chama kina doa baya la taswira ya Ukatoliki na Uchaga, you need to quash that alienating image, it does not resonate with the muslim vote, mnajua kura ngapi Dr. Slaa alizikosa for being billed as a Christian block candidate? Ondoeni hizo paraphernalia za Ukristo kwenye kampeni!
Baba yake Nasari ni mchungaji huwezi kumuwekea mashariti ya kutokutembea na bible kama ilivyo kawaida yake kwanza siyo lazima yeye awechadema unaweza kuta kwenye siasa hayuko.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom