Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
Hivi huyu ni Nape kweli? Naanza kama kumuamini amini alipomkana huyu mtu wa JF kuwa sie yeye. National Spokesperson wa Chama Cha Mapinduzi hawezi kuruhusiwa kuja Jamii Forums ku post mipasho mipasho namna hii, sidhani kabisa.Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
Anyhow, CHADEMA safari hii mko kwenye home turf, mnaweza kutuwekea picha za mikutano na misafara all you want lakini anything short of victory at your own heartland chama kitaumia vibaya mno.