Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

Nape nakuomba uwaongeze Posho ndugu Bungeni na ndugu Lizaboni , maana leo wame dominate thread hii kwa nguvu sana ! hiyo buku 7 unayowapa haitoshi ! Si mlikubaliana kwamba kila jasho la mtu litalipwa ? Hebu wafikirie mkuu !
 
mkuu, mbona hili jipya? mbona wakati kanda zingine zinazinduliwa maandalizi hayakufanyika makao makuu wala hatukuona watu wakihamasishana kupitia humu jf
walihamasishana kupitia nini?
 
mkuu, suala la chadema kuwachukia waislamu hilo liko wazi na huwezi kuikana dhambi hiyo. kila kukicha wabunge wenu wanahangaika na cd feki kuonyesha waislamu wanapanga njama za mauaji. kwa siku za karibuni alianza selasini na wiki ijayo anakuja lema. najua wabunge hao wanatumika na wachungaji wa kichaga kwa malengo yao yasiyojulikana. kwa nini wabunge wachaga wanawachukia sana waislamu?

waislam tunaipenda cdm sana kuliko unavyo fikiri we msukule, alafu usitusemee kenge we mdini
 
Muulizeni mbatia alivoenda kuchochea mgogoro wa gesi mtwara atawapa habari kamili ya watu wa kusini.

...tunauzoefu na kusini,umesahau tulivyo mchanganya membe mpaka akatoa kauli tata magamba wakamjia juu...
 
mkuu, mbona hili jipya? mbona wakati kanda zingine zinazinduliwa maandalizi hayakufanyika makao makuu wala hatukuona watu wakihamasishana kupitia humu jf

...we muongo kama pinda,nakumbuka uzinduzi dar na pwani zilianzishwa nyuzi kama mbili za kuhamasisha na kualika,same applied kwa kanda nyingine...
 
kufanya maandalizi hapa dar tena makao makuu inadhihirisha wazi kuwa eneo la kusini ni hatari kwa chadema. kwa hili linalofanyika ndo mnakididimiza chama maeneo ya kusini.
Acha bana, hawakawagi kusema hatujasoma na tumetopewa na umaskini na ndio maana harakati zinaanzia makao makuu!
 
Nape nakuomba uwaongeze Posho ndugu Bungeni na ndugu Lizaboni , maana leo wame dominate thread hii kwa nguvu sana ! hiyo buku 7 unayowapa haitoshi ! Si mlikubaliana kwamba kila jasho la mtu litalipwa ? Hebu wafikirie mkuu !
Hahaha hahaha kweli mkuu, huyu bungeni anajitahidi mno mno kuwabeba magama pls aongezwe posho!
 
Kwanini ifanyikie Dar na sio kwenye mojawapo ya mikoa husika?
 
mkuu, suala la chadema kuwachukia waislamu hilo liko wazi na huwezi kuikana dhambi hiyo. kila kukicha wabunge wenu wanahangaika na cd feki kuonyesha waislamu wanapanga njama za mauaji. kwa siku za karibuni alianza selasini na wiki ijayo anakuja lema. najua wabunge hao wanatumika na wachungaji wa kichaga kwa malengo yao yasiyojulikana. kwa nini wabunge wachaga wanawachukia sana waislamu?

Njaa itakuua mdini wewe. Naona unalinda kitumbua chako kisiingie mchanga. Jiandae kula kwa jasho lako upambe una mwisho.
 
Shime Waislamu wahangamizeni 2015 hawa maadui zenu wanaowapigeni vita.Wanaona aibu wameamua wazindulia dar.Na bado dar 2015 hampati jimbo hata moja
 
Back
Top Bottom