Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

mkuu, suala la chadema kuwachukia waislamu hilo liko wazi na huwezi kuikana dhambi hiyo. kila kukicha wabunge wenu wanahangaika na cd feki kuonyesha waislamu wanapanga njama za mauaji. kwa siku za karibuni alianza selasini na wiki ijayo anakuja lema. najua wabunge hao wanatumika na wachungaji wa kichaga kwa malengo yao yasiyojulikana. kwa nini wabunge wachaga wanawachukia sana waislamu?

Hivi unafahamu hata kwenye hansard ya bunge inajulika mwanzilishi wa udini nchi hii anayechukia wakristo na kuwatenga na waisalamu ni Jakaya Kikwete na CCM,klakini wanachi wamekataa kwa hiyo dhambi wamebaki nayo wana CCM walioshinda juzi kilosa walikuwa wakristo eeh
 
chadema hawana chao kusini. oparesheni okoa kusini ilibuma ile mbaya na walirudi kwa aibu
Ilibuma???Ibume wakati matunda yake ndio hayo yaonekanayo sasa ya wananchi kujitambua na kujua haki zao na kumwelewa mwizi na adui yao mkubwa ni nambari wani ccm-magamba??Thubutuni tena kuwadhulumu hela yao ya korosho muone kilichomnyima kanga manyoya!!!Ninafikiri unaandika kwa kujidanganya au kuingiza siku kwa kutetea kilichotetereka kisichoteteka kwa kuteketea."Pole mwana mughoshi".
 
Ilibuma???Ibume wakati matunda yake ndio hayo yaonekanayo sasa ya
wananchi kujitambua na kujua haki zao na kumwelewa mwizi na adui yao
mkubwa ni nambari wani ccm-magamba??Thubutuni tena kuwadhulumu hela yao
ya korosho muone kilichomnyima kanga manyoya!!!Ninafikiri unaandika kwa
kujidanganya au kuingiza siku kwa kutetea kilichotetereka kisichoteteka
kwa kuteketea."Pole mwana mughoshi".

unajidanganya mkuu. chadema hawakubaliki kusini. kule labda viongozi wa CUF ndo wanaweza kuwa na ushawishi kidogo kwa upande wa upinzani na si chadema. kama huamini subiri 2014
 
Hivi unafahamu hata kwenye
hansard ya bunge inajulika mwanzilishi wa udini nchi hii anayechukia
wakristo na kuwatenga na waisalamu ni Jakaya Kikwete na CCM,klakini
wanachi wamekataa kwa hiyo dhambi wamebaki nayo wana CCM walioshinda
juzi kilosa walikuwa wakristo eeh

mkuu, angekuwa anawachukia wakristo asingewajaza pale ikulu. mawaziri wote wa ikulu kuanzia mwandosya, wasira,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Ilibuma???Ibume wakati matunda yake ndio hayo yaonekanayo sasa ya
wananchi kujitambua na kujua haki zao na kumwelewa mwizi na adui yao
mkubwa ni nambari wani ccm-magamba??Thubutuni tena kuwadhulumu hela yao
ya korosho muone kilichomnyima kanga manyoya!!!Ninafikiri unaandika kwa
kujidanganya au kuingiza siku kwa kutetea kilichotetereka kisichoteteka
kwa kuteketea."Pole mwana mughoshi".

mkuu, watu wa kusini hawapo cheap kiasi hicho. wanajitambua kwa utashi wao na si ushawishi wa chadema. labda CUF wanaweza kuwa na ushawishi
 
Haya tumesikia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mkuu, watu wa kusini hawapo cheap kiasi hicho. wanajitambua kwa utashi wao na si ushawishi wa chadema. labda CUF wanaweza kuwa na ushawishi

Nshakwambia tumia kichwa la sivyo hii shift uloingia itakushinda,KUSINI MIAMBA NI CHADEMA NA CUF MAGAMBA HAWANA CHAO."Let us wait der tm will tell"."ubajwa"
 
mkuu, angekuwa anawachukia wakristo asingewajaza pale ikulu. mawaziri wote wa ikulu kuanzia mwandosya, wasira,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Theory za kijinga hizo huna unalolijua Jakaya na CCM waanzilishi wa udini pia yeye mwenyewe ni mdini na amegawa nchi vipande kidini so stop accusing others
 
kufanya maandalizi hapa dar tena makao makuu inadhihirisha wazi kuwa eneo la kusini ni hatari kwa chadema. kwa hili linalofanyika ndo mnakididimiza chama maeneo ya kusini.

Basi sawa ndugu Lizaboni , tunafahamu kwako ni Songea lakini utakiona cha moto , kama unabisha uje kwenye huo uzinduzi uone , huu ndiyo Mwisho wa siasa za Nchimbi Songea , nyie wapambe wake tunafahamu kuwa tayari maisha yaisha kuwa magumu pole sana , jifunze kula kwa juhudi zako .
 
unajidanganya mkuu. chadema hawakubaliki kusini. kule labda viongozi wa CUF ndo wanaweza kuwa na ushawishi kidogo kwa upande wa upinzani na si chadema. kama huamini subiri 2014

wewe ni mtu wa ajabu sana mimi natoka kusini, Chadema is slowly penetrating Igunga was CUF strong hold where is CUF now dont be mislead by outdated research, Tanzanians are not as foolish a you are, Who are you to speech on behalf of the southerners, can you please go to hell
 
Huyu lizaboni"lisa"ana laana" yawezekana ana kauwehu kwani hata haeleweki.
 
Back
Top Bottom