Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

Uzinduzi kanda ya kusini - Lindi, Mtwara na Ruvuma

Chadema ni ya kanda ya kaskazini

mimi nawashangaa nyny acheni kuwatukana watu kuna siku mtajuta, kusini wanataka kuwa kama kasikazin sasa nyiny mnataka kuwakalia kwa propaganga na pia mnawatukana wana ccm wa kaskazin kuna siku myajutia msemo huu kama unavyoangaikia sasa propaganda zenu za udini. acheni demokrasia ichukue mkondo wake jamani shindaneni kwa hoja siyo nguvu za dola na fedha nawasilisha
 
Mie ni mnyamwezi na ni mwislam na nipo chadema, mbona siuoni huo ukristo? Mbona Hapa ni utanzania na uzalendo tu ndo nauona?au ninyi mnatumia macho gani kuuona ukristo, uchaga na ukaskazini wa chadema? Nisaidieni!!!
 
Kusini Cdm walienda wakapoteana wanakusini tumejitambua mabepari Ndio walitupa umasikini na hao wapo Cdm walewale nendeni na Zanzibar mbona maalim Seif Jana amekwenda kufanya mikutano singida
 
ungependa iwe hivyo ila imedunda.haijawahi kutokea cdm wakapiga vita waislam hiyo ni mbinu ccm wanarumia kuwaada waislam ili ccm waendeleze ujangili wao

Na CCM imewageuza waislam kama
tairi,mwaka 2005 waliwadanganya kuwa tutawapa mahakama ya kadhi,waislam wakaipa kura CCM, baada ya hapo wakaachwa solemba.Mwaka 2010 JK akawambia kuwa wakristo wanampango wa kumweka Dr.Slaa awe Rais,waislam bila kufikiri wakamtosa Lipumba,wote wakaambiana misikitini kuwa bora wampe kura Kikwete angalau kuwe na Rais mwislam. Sasa safari CCM wakiweka Rais Mkristo sijui waislam watadanganywa vipi? Au ndio rais asitoke kaskazini?
 
Chadema ni ya kanda ya kaskazini

Kweli we ni chizisosi,! Hivi we Lukosi ukijiangalia kwenye kio unaona binadamu mwenye akili? Hayo hiyo biashara ya meno ya tembo yaliosagwa ilikuharibu kichwa kabisa!!!.
 
chadema ni ya kanda ya kaskazini

mkuu, mbona hili jipya? Mbona wakati kanda zingine zinazinduliwa maandalizi hayakufanyika makao makuu wala hatukuona watu wakihamasishana kupitia humu jf

zanzibar hakuna chadema. Ndo maana hata makamu mwenyekiti katoka kanda ya nyanda za juu kusini. Wanashindwa kwenda zenji kisa ni waislam wengi

sure mkuu, malengo yao ni kuanzisha himaya ya kaskazini

kufanya maandalizi hapa dar tena makao makuu inadhihirisha wazi kuwa eneo la kusini ni hatari kwa chadema. Kwa hili linalofanyika ndo mnakididimiza chama maeneo ya kusini.

upumbavu mtupu
 
muulizeni mbatia alivoenda kuchochea mgogoro wa gesi mtwara atawapa habari kamili ya watu wa kusini.

hakuna kazi ngumu kama kujipendekeza,hata ukiambiwa kula kinyesi unakula,hii yote ni kutokana na kuwa na upeo mdogo na akili za kuku.
 
Tafadhali nipeni taarifa zaidi kwani nina msururu wa wanakusini wanadubiri kwa hamu kushiriki
 
Back
Top Bottom